happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 847
mimi nasumbuliwa nalo na mimba nabeba ila uchungu sipati mpaka kipind cha mwisho wa mimba nakua karib na docta nifanyiwa opareshen I'll tatizo lilipelekea nikapoteza mtoto nasubir kujifungua uchungu amna pigwa drip 4za uchungu wapi miez inapita kuja
kupasuliwa mtoto kuona mwanga tu akafarik napata vikwazo ving sam taim siingii bliid sam taim inakuja na mda mwingine inakua nyingi balaa hapo nabid nikanywe dawa za homon balance kupunguza na mpaka inakata pole mwenzang
Sent using Jamii Forums mobile app