Dawa ya hormone imbalance

Dawa ya hormone imbalance

Mpeleke hospital muhimbili,kuna gynaecologists watakusaidia..me pia nilikuwa na hilo tatizo la kutoshika ujauzito walinisaidia nikafanikiwa..kuna dr anaitwa mtinangi ndiye aliyenisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dd4cfb61132e10aa345d3286204af91e.jpg
mwambie atumie hilo jani lina msaada mkubwa mnoo
Hili jani ni dawa ya nn pia?? Haswa kwa wasichana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema, Mke wangu anatatizo la hormone imbalance, hivyo hawezi kubeba ujauzito, Naombeni msahada wa tatizo hili au dawa ambayo inaeza kumsaidia abebe ujauzito angalau Mtoto mmoja tu. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute huyu dada instagram
@ hosymichael
 
Mimi ninayo dawa ya kumtibu mke wako hayo maradhi ya Hormone Imbalance nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mke wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Nadhani ungesema hapa ili wengi wajue mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipigwe pesa nimekupa dawa hiyo bure kabisaa hata uwe una miaka 10 hujazaa kwa uwezo wa Allah hilo jani ni mkombozi kwa wanawake dawaa hiyo buree na wote nilowaelekeza wengine washapakat na wengine ni mama k now kazi kwako ukitaka maelezo yake nifate pm sitak shinkumi yako nimeamua kukusaidia tu
Asante mkuu, Naomba na maelekezo yake ili kesho aanze kutumia, Natanguliza shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom