Doh nimepaka hakuna mabadiliko nahisi vidole vitakatikaTumia mmea wa Alvera unaponesha Tena Haraka Sana
Tumia white field ointmentHabari doctor
Vijana wangu wawili hucheza sana kwenye maji, sasa wamepata fangasi za vidole vya miguu, zinawasha sana huyu mdogo anabaki kulia, naombeni msaada wenu, kwa dawa yeyote ile inayoweza tuliza maumivu na muwasho, Asanteni.
Hii imenisaidia sana mm iko vzurTafuta dawa moja inaitwa Gentrisone ni nzuri na hutibu kwa haraka sana!