Naomba msaada wa dawa kama itakuwepo nime2mia dawa nyingi sana na hospital nyingi sana kupata sululisho la mguu wangu umepata fungus tangu mwaka 2010 ila kila nikitibiwa cpati nafuu plz nisaidie doctor
Fungus katika ya vidole ni fungus yaFangasi za miguu zinataka kukata vidole vyangu je dawa ya asili ni ipi. Jamani nimenyeshewa mvua nikiwa nafungua geti si mnajua tena kazi yangu ya ukolokoloni na haya masika kila anayekuja na gari hata kwenda kununua vocha wanatoka na gari basi nimelowa mfululizo kwa wiki sana na mbaya zaidi nimevaa viatu na soksi hivyo vimenisababishia fangasi za miguu na sijapata muda wa hospitali kabisa si ujua tena nikikosa siku moja tu kibarua kinaota nyasi.anayejua dawa ya fangasi nisaidie
Fangasi za miguu zinataka kukata vidole vyangu je dawa ya asili ni ipi. Jamani nimenyeshewa mvua nikiwa nafungua geti si mnajua tena kazi yangu ya ukolokoloni na haya masika kila anayekuja na gari hata kwenda kununua vocha wanatoka na gari basi nimelowa mfululizo kwa wiki sana na mbaya zaidi nimevaa viatu na soksi hivyo vimenisababishia fangasi za miguu na sijapata muda wa hospitali kabisa si ujua tena nikikosa siku moja tu kibarua kinaota nyasi.anayejua dawa ya fangasi nisaidie