Dawa ya fungus za miguuni

Dawa ya fungus za miguuni

Kidole changu mguu wa kushoto, fangasi wataondoka nacho, ngoja nipake hiyo ndimu nione kesho asubuhi kama nitaamka nimepona
Maji moto na chumvi ya kutosha, choma kidonda asubuhi na jioni halafu jitahidi kuvaa viatu vya wazi kadiri iwezekanavyo, pia nunua soksi 100 cotton na sio polyester. Mie nilkuwa na pair ya sandals chini ya desk, nikiwa ofisini navaa sandals.
 
Heshima mbele wakulu!

Ninasumbuliwa sana sana na Fungus sa miguuni na Muwasho na michubuko pembeni mwa mapumbu/mapajani.Nimeshatumia dawa kama Daktarin Powder kwa miguu,zinanisaidia sana,lakini nikiacha ck 2 au 3 zinarudi upya,mapajani ninatumia cool powder,prickle heat etc..bado hazinisaidii sana.

Nataka kutibu haya matatizo moja kwa moja,wenye uzoefu na utaalamu tafadhali naomba msaada.
Tumia vidonge "gresiofluvin" 1x30
Na Metronidazole cream kwa kupaka
 
Back
Top Bottom