Dawa heshima tu

Dawa heshima tu

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
3,391
Reaction score
1,546
kama ingekuwa hivi matatizo ya ugoni yasingekuwepo
 

Attachments

  • 10452323_589691257817112_1183834273481545708_n.jpg
    10452323_589691257817112_1183834273481545708_n.jpg
    48.1 KB · Views: 1,574
Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?

Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!

Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.

do you come from planet mars?
 
Mwanamke na kupeana mikono na wanaume inahusu nini?

Mingine inajichokonoa pua, inajikuna makende, inajikuna makalio, inajikuna ukurutu. Mnphhhhhh, kamasi!

Khaa! mimi huwa siwapi mkono watu kabisa. Salaam Aleykum, Aleykum Salaam, unaashiria inatosha.
Haa ha ha! Ila hata nyie wanawake mnavyakushika shika vingi. Bora hata sisi.
 
inajikuna makende,

Hhahahaahhaaaaa yaani umenichekesha na kunikumbusha mnyamwezi mmoja hivi huwa anapenda kuniambia yaani nimebaki mimi na makende yangu tuu hahahahahahahaaaa, nimejikuta nacheka kwanguvu looh, ila tabia ya wanaume kujikuna mayai yao hayo huwa siipendi hasa wanapojikuna hadharani looh, ndomana wazungu wanahug au wanakumbatiana kuepusha shari yaani wanagusanisha vifua tuu na si mikono wala viuno looh
 
Mnadhani tatizo kushikana mikono? Tatizo maCHO...!! yakishaona Mzigo fasta yabapeleka Taarifa kunakohucka,,,,!!!
 
Eeeh siwapi! Kiroho safi.

Na nani umpe ataupokea? labda hao hao, wasojuwa hadhi ya mwanamke ni nini. Loh! janadume lishike mkono wangu? inakhusu nini?

Mwenye hadhi hiyo ni yule aliyepiga goti kwetu tu.
 
Back
Top Bottom