Tafakari_nami
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 783
- 1,560
Ni mti na itwa mti wa mlonge, google hapo youtube utauona. matumizi asubuhi mchana jioni kijiko 1 kidogo cha chai weka kwenye maji ya moto, uchemshe hiyo dawa, chemsha maji tuu kikombe kimoja alafu weka hiyo dawa kwenye hicho kikombe chenye maji ya moto koroga,ikipoa kunywaSijawahi mkuu.. Naomba nisaidie kwanza mlonge ndio mnini?
ipoje hii mkuuFanya Intermittent fasting utakuja kunishukuru siku moja achana na ngonjera za kula milo mitatu kwa siku.
kwanini mpaka unywe maji mengi hivyoNi vimbegu moja hivi ukivila unaweza ukanywa maji lita 2 au zaidi kwa mkupuo
Mwelekeze vizuriNilishawahi kuugua vidonda vya tumbo. Nimepona kwa kula pilipili kali za mwendokasi.
Watu wengine wenye uelewa wa haya mambo watakuja kufafanua tiba ya pilipili.
Hunijui sikujui sina sababu ya kukudanganya
Mimi dagaa maharage njegere mwaka wa 2 sijala nikaambiwa nile bamia matango mapapai haya madude sikuyapenda lakini nilikula sana lakini wapiKwa upande wangu nilitumia sana dawa za hospitali lakini kiukweli ilikuwa nikama zinatuliza kwa muda..
Jambo lililofanya ni kuepuka kitu chochote ambacho ni kila .. kinafanya kuamsha vidonda tumbo...
Kwa mfano dagaa..ni mwaka wa nne sasa situmii.. na vinginevyo..
wewe una zungumzia mbegu za mti wa mlonge, hivi hizo mbegu ni dawa ya vidonda vya tumbo pia ?!Vinaasili ya sukari sana shida mi nikila vinanisababishia mafua
Zinapatikana wapi mkuu??, au hata sokoni naweza kupataNi vimbegu moja hivi ukivila unaweza ukanywa maji lita 2 au zaidi kwa mkupuo
Asante mkuu nimeona.. sasa Si Niko na nyingine naendelea nayo au hata Kwa pamoja hazina shida?Ni mti na itwa mti wa mlonge, google hapo youtube utauona. matumizi asubuhi mchana jioni kijiko 1 kidogo cha chai weka kwenye maji ya moto, uchemshe hiyo dawa, chemsha maji tuu kikombe kimoja alafu weka hiyo dawa kwenye hicho kikombe chenye maji ya moto koroga,ikipoa kunywa
Sijajua sasa hospital walikuambia shida ni nini hasa na ulipima kipimo aina gani tuanzie hapo ?!Asante mkuu nimeona.. sasa Si Niko na nyingine naendelea nayo au hata Kwa pamoja hazina shida?
SawasawaSokoni vipo ukitaja mlonge wanakupa bei kuanzia 2000
Uko wapi tukusaidieAisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Tumieni na asali mbichi lowekeni bamia alafu kunywa asubuhi na jioni kuleni kwa wakati mie ndo navyoishi saivi😭Sawasawa
Ukuje PMAisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Ndio hivyo mkuu, tunavituliza,Mkuu hayo yote nayafanya kupona sizani kama kupo ila kutulia nahisi kupo
Hzi hazitibu, zinatuliza tuHizi dawa zilinisaidia kupona ila kabla ya kutumia ni vizuri ukakutana na wataalam wa afya.
Pantroprazole Tablets 40 mg.View attachment 2876463