David mattaka akiwauliza waandishi mnahisi kuna kesi hapa?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
WAJINGA WALIWAO PALE NAO TAKUKURU WANATAKA KAMGAO CHAO WAKIRIDHISHWA NAWAAMBIA
MTAISHIA KUSIKIA USHAHIDI UMEKOSEKANA..LAKINI UKWELI NI HUU HAPA

YAMEAGIZWA MAGARI 26 kwa thamani ya sh MILLION 808,336 KATI YA HAYO YAKATOLEWA 8 HAYA NAONGELEA SHANGINGI VX, YAKABAKI 14,YALIOBAKI YAKAPELEKWA KWENYE WAREHOUSING MHUSIKA AKAWA ANALIPWA DOLLER 3876 KWA MWEZI KWA KUHIFADHI HIZO GARI...ILIPOGUNDULIKA HILO
AKARUDI NA KUOMBA WANAWEZA KUFANYA MAELEWANI AKAPUNGUZA...MPAKA DOLLER 3000 KUHAMAKI KUMBE NI MJOMBA EWAKE DAVID ANAMWITA UNCLE KWA WANAOMJUA MASHAKA ,,AMEKUWA AKIMSAIDIA SANASANA WAKATI DAVID YUKO JUU YA MAWE NAONA AKAAMUA KULIPA FADHILA KWA KUMPE HIZO DOLALI.....TOLEWA NA HIYO KAMPUNI KAMA AHSANTE AMBAYO

SASA BASI KUMBE WAKATI YANALETWA WALIKUWA WANAOMBA KIBALI TRA WASILIPE TRA WAKASEMA AKUNA MAGARI CHAKAVU YASIOLIPIWA WAKAHANGAIKA SANA IKABIDI WAENDE SERIKALINI SERIKALI WAKAWAULIZA NANI ALIEWAPA KIBALI CHA KUNUNUA MAGARI NA YAMENUNULIWA KWA TENDA IPI...MBAYA ZAIDI KATI YA 26 YAKAJA MAGARI 30
MA NNE YALILETWA KAMA AHSANTE KWA WALE VIGOGO WANNE...

TANGU HAPO AKUNA GARI LILITOLEWA KWENYE BOND NA SIKU ZILIVYOENDA ILIGUNDULIKA ZIMEBAKI GARI 5 ZINGINE ZIKO WAPI AIJULIKANI ..SASA NA MPAKA ANAONDOKA KWENYE MAKABIDHIANO HAKUNA SEHEMU ILIOONYESHA KUNA GARI ZA ATCL ZIKO SEHEMU..HILI NDILO LIMEISHTUA NA TAKUKURU NA WENGI WALISUBIRI KUONA AKIWA ANAKABIDHI LABDA ATAWAJUZA WANAOKUJA KUNA HAKA KAUCHAFU NAOMBEN MNILINDE

SASA WATU WATANO WANANUNUA MAGARI KWA MILLION ZAIDI YA 800 JAMANI ,,,HUYU KIKWETE ANATUPELEKA WAPI..,NA HAWA MARAFIKI ZAKE HATA KAMA ANAKULA MGAO JE NI HALALI KULIUA SHIRIKA KAMA HILI KWA MASLAHI YA WATU WACHACHE KWELIIIIII???EMBU IFIKE WATANZANIA SASA TUANZE KUDAI MALI ZETU HAATA KWA MAANDAMANO...TUNAKIMBILIA KATIBA LAKINI KAMA WASHENZI WANAENDELEA KULA NA HAKUNA SHERIA YA KUWABANA TUNABAKI KUWA MISUKULE TU YA MAJINI MABAHABA

MUNGU UTUSAIDIE MAANA HAKA KAUCHAFU AKAKO ATCL TU KAKO NIC,KAKO BANDARI,KAKO KILA SEHEMU
 
Attachments

  • DAVIDDDDDDIIII.jpg
    DAVIDDDDDDIIII.jpg
    15.1 KB · Views: 66
Hitimisho
ushahidi umekosekana wa kuridhisha tukutane b-bar sinza
 
Mkuu kwa hiyo alivyokodisha Airbus ni sahihi kabisa ? kwa pesa ya kukodi ndege mbili kama hizo
Kweli safali yetu ni ndefu sana
 
Jamani hili suala si lipo Mahakamani??. Hatuna haja ya kulijadili hapa ni kuingilia Uhuru wa mahakama.
 
Jamani hili suala si lipo Mahakamani??. Hatuna haja ya kulijadili hapa ni kuingilia Uhuru wa mahakama.

Mahakama Tanzania? Acha utani ndg na mahakama zenu zinazoamriwa na serikali namna ya kuhukumu.hakuna mahakama ya haki hapa
 
Jamani hili suala si lipo Mahakamani??. Hatuna haja ya kulijadili hapa ni kuingilia Uhuru wa mahakama.
Hakimu gani atasoma mabandiko ya Jamiiforums halafu awe influenced na anachosema Kivumah na Basiasi na Anheuser, mijitu isiyojulika kiupeo wa kisheria na ambayo labda ndio mishutumiwa yenyewe?

Jaji Makame (kama sikosei) aliwahi kusema kama Jaji/Hakimu atakuwa influenced na yanayosemwa mitaani basi hastahili kuwa Jaji in the first place!

Hii doctrine tuliitoa Uingereza. Kwamba Jaji anaweza kuingia kwenye bar akakuta wanywa pombe wanaongelea kesi yake halafu akaguswa na kutoa hukumu kwa mtazamo wa raia wale. Wenyewe walishaitosa toka 1982, waliona hai make sense.

Sisi tunajadili kesi huku pembeni, na hakimu ana mashauriano yake mahakamani. Hakimu akajiingiza hapa akapotoshwa. Nani hapo atakuwa kaingilia majadiliano ya mwenzake, sisi, wao?

Lakini lingine la muhimu kuhusu kuingilia uhuru wa Mahakama ni kwamba kwenye common law jurisdictions, mtu au taasisi yeyote inaweza kupeleka - na wakati mwingine mahakama yenyewe inaomba ipelekewe - amicus briefs, ambayo ni maoni ya ma stranger wasiohusika na kesi ile, mahakama inasema, je wadau wengine, mwaonaje kesi hii? Wanaweza kuwa ni wakufunzi wa kitivo cha sheria, lakini hata wadau wa kitaa wanaweza kuandika friends of the court brief. Mmachinga kashtakiwa halipi kodi, Chama cha Wamachinga wanaweza kupeleka brief kuwasukuma majaji wasimfunge mwenzao. Inakubalika kabisa.

Sasa kama naweza kuwaandikia amicus brief Mahakama Kuu - ambayo si lazima waipokee, na wakiipokea si lazima waisome, na wakiisoma si lazima waifuate - kwa nini JamiiForums kujadili kesi ikawa ni kuingilia mahakama?

Colonial mentality, we never want to update the system of law that even those who imposed it on us have damped, most unfortunate.
 
mheshiwa hakimu baada ya uchunguzi wa mda mrefu juu ya kesi ya Mh Mataka,tumeona kuwa hauna ushahidi wowote ule wa kumtia hatiani,kwa hiyo anahaki ya kuachiwa huru na kuifungulia kesi serikali kwa kosa la kudhalilishwa na kuharibiwa jina lake

Hata hizo gari wanazosema zimeonekana zinatumiwa na viongozi wakubwa tu hapa nchini,

ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooop mataka upo huru nenda kale vyako kwa utulivu ila usisahau kumpa hakimu hata tairi moja la gari

hahahahaha,hiii ndiyo bongo bana

sasa wewe iba kuku,ama shilingi mia ama nenda kamwibie makamu wa raisi nazi zake weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee utakoma
mheshiwa haki bwana huyu kakutwa na hatia ya kuiba nazi 12 ktk minazi tofauti ya Mh makamu wa Raisi

ilikutoa fundisho kwa wezi wadogowadogo kama huyu atakwenda jera miaka miwili na atachapwa viboko 20,kumia wakati wa kuingia na 10 wakati wa kutoka ili akawaonyeshe wezi wenzake wa kuku na nazi

ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooop
 
Mleta mada umeongea vizuri sana umekosea pale ulipomhusisha Kikwete na uliosema hao rafiki zake. Hivi wewe Huna rafiki? Na rafiki yako akikosa lolote lile na wewe unakuwa umekosea?
 
Jamani hili suala si lipo Mahakamani??. Hatuna haja ya kulijadili hapa ni kuingilia Uhuru wa mahakama.

mahakama zipi za kise...kma majaji wakuu wanasubiri kustaafu alafu wanakiri hadharani walilazimishwa kutoa hukumu fulani si wote macameroon upuuzi mtupu hii nchi.....unajua alipo daniel yona/........anyway utasema nae maahakamani
 
What is damped?
deaden, among other meanings.

http:/dictionary.reference.com/browse/damp

Past tense of damp.

verb (used with object)

- to check or retard the energy, action, etc., of; deaden;

- to stifle or suffocate; extinguish:
 
Back
Top Bottom