Shirika gani? PPF au ATC? Au matumizi mabaya ya ofisi zote mbili?
Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?
''Eggs n Words should be handle with care once Eggs broken n Words spoken are Hardest to repair'':A S embarassed::shock:
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.
MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.
Source; Michuzi blog
Shirika gani? PPF au ATC? Au matumizi mabaya ya ofisi zote mbili?
Nikimsoma Mataka basi jina la Defao na TMJ huflash kichwani.
Huyo Mataka kila shirika alilokaa ameua nadhani sasa anaelekea kuua his own family
Duh kumbe ni kweli ndo kazi yake ku Camerun wenzake? duh noumer!
Mataka pamoja na wenzake 3. Kwa matumizi mabaya ya ofisi. Tuone hii nayo itabinuka vipi
duh ya kina mramba kesi bd?