Hakuna cha awamu ya jkaya mkapa mwinyi magu...Tumerudi yyale Yale ya awamu ya jakaya
Unajua kama hujafanya utafiti wa kutosha sio vema kutoa lawama,hukumu za mahakama ni wazi wewe nenda huko mahakamani utapewa taarifa kamiliKuna jambo limenishangaza sana!
Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71.
- David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kuisababishia hasara ATCL ya Tsh Bilioni 100
Ajabu ni kuwa hii kesi iliwahi kusikilizwa mwaka 2017.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) David Mataka na aliyekuwa Kaimu Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha ambaye ni Askofu wa Kanisa la Pentecoste Motomoto, Elisaph Mathew.
Wawili hao wamehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela ama kulipa faini ya Sh.milioni 35 kwa kila mmoja kutokana na mashtka yao sita waliyokuwa yanawakabiri pia Mahakama imewataka washtakiwa hao kulipa hasara waliyoisababishia ATCL kwa kununua magari chakavu 26, yalikuwa na thamani ya zaidi ya dola milioni 143 ndani ya mwezi mmoja.
Kwa upande mwingine, Mahakama imemuachia huru William Haji aliyekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za ATCL
- Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mattaka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35
Je, Serikali imeamua kutuchezea mchezo mchafu wananchi? Kesi ilisikilizea Mahakama ya Kisutu na ikatolewa hukumu kama rufaa si ilipaswa ikatwe mahakama ya juu? Iweje kesi moja inatolea uamuzi tofauti? Kuna nini kipo nyuma ya pazia juu ya kesi hii? Au mkisubiri JPM afariki muanze sarakasi?
View attachment 1901448View attachment 1901449
Kila gari moja chakavu limenunulia kwa 5.5 dollars aiseeeeee!!!!!!!Dolla milion 143 mkuu sio Tsh
Itakuwa kaja hivi karibuniWe ni mgeni wa sarakasi na maigizo
Hakuna mahakama hapo, hilo ni tawi la CCM kama matawi mengineUnajua kama hujafanya utafiti wa kutosha sio vema kutoa lawama,hukumu za mahakama ni wazi wewe nenda huko mahakamani utapewa taarifa kamili
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwa mantiki hiyo tufafanulie hii inamaana kesi ya Mwanzo ilikuwa ni hasara ya bill 100 ni tofauti na hii ya hasara ya bill 70s..?Kinachokusumbua mtoa mada ni kukosa elimu na kujifanya unajua wakati hujui. Hapo hakuna kesi mbili zinazofanana bali ni mashitaka mawili yanayoshabihiana. Rudi shule ukasome japo kacheti ka sheria.
Huko sahihi kabisa dawa ni katibacmpya. Ila hata hivyo katiba mpya hata ikiwepo na wewe unaishi kwa shemeji haitasaidiaKatiba mpya ndo suluhisho ya hizi sarakasi zote za CCM
Kwa speed ya rocketTumerudi yyale Yale ya awamu ya jakaya
Hahaa nakumbuka ilikuwa inatoka Bagamoyo to Dar ilifanya kazi kama wiki 1 tu, ilikuwa inatumia masaa 4Nchi ina matatizo sana hii kuna mtu alinunua boti chakavu kwa bilioni 8 na haikuwahi kufanya kazi hata siku moja tokea inunuliwe na hakufanywa chochote.
Ukisikia deed assignments ndo hizo
Huyo hana tofauti na mzee simba kawawa aliyebebeshwa lawama zoote za serikali awamu fulani ya Uongozi
Alichokua anakifanya serikali au watendaji fulani muhimu wajuu walijua kila kitu ndo mana unakuta kila mtego alioingia kifungo cha kichekesho kikiambatana na faini...
Yeye ni mbeba lawama zotee kama alivokua kawawa
Haikufanya kazi kabisa ilienda kwa majaribio ilitumia zaidi ya masaa matatu ilivyo rudi wakadai watakuja waliyoiunda waifanyie marekebisho ikawa ndio imetoka,halafu mtu huyo alipopata madaraka zaidi kazi yake ilikuwa ni kuwananga watangulizi wake na kudai nchi ilichezewa sana huku yeye akijiweka pembeni akijifanya ni mtakatifu.Hahaa nakumbuka ilikuwa inatoka Bagamoyo to Dar ilifanya kazi kama wiki 1 tu, ilikuwa inatumia masaa 4
Hujui kusoma?Kwa mantiki hiyo tufafanulie hii inamaana kesi ya Mwanzo ilikuwa ni hasara ya bill 100 ni tofauti na hii ya hasara ya bill 70s..?
Huna taarifa wa mwendokasi yuko nje kitaaambo anakula mema ya nchi wewe usicheze na sukuma gang weweHapo ndipo napoyapendea mafisadi yana umoja kweli.
Mambo yakiaribika kuna ‘fall guy’ ila wakipata nafasi tu wanakuokoa. Majamaa loyalty kwao ni muhimu sana.
Yule wa mwendokasi nae sio muda mrefu atakuwa uraiani.
Zilitoka wapi? Nani aliidhinisha au umechanganyikiwa? US$143m ×Tshs. 2330 = Tshs 333.19 Billion kwa magari 29 kwa gari moja ni 11.971B?Dolla milion 143 mkuu sio Tsh
Sidhani kama hili limefanyika, lakini kama kuna ukweli wowote basi kutakuwa na uzembe mkubwa kwa upande wa Mahakama za Tanzania.Kuna jambo limenishangaza sana!