Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,340
- 1,399
Mnashangaza !! Mnawaita washamba wakati mkoa wao na jiji lao la Mwanza ni la pili kwa ukubwa baada ya Dar, mnaojiona wajanja mnatoka kwenye vimkoa vya kishamba visivyo na majina !!WAsukuma ni wema sana, nawapenda maana huwa wana ushamba usio isha.