David Kafulila: Wasukuma siyo watu wa kulalamika

ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,226
2,000
Nyie Ni wakabila hamna cha nn wala nn baba yenu alibeba sana
Ndio wanaokulinda, kulinda nchi. Kufanya kazi zote ngumu ngumu.

Wangekuwa wakabila kama Wakikuyu Kenya wangetawala milele. Sababu uwezo na namba wanazo.

Ndio wachangiaji wakubwa wa pato la Taifa. Nyama, choroko, dengu, mchele, sato, sangara, dagaa, pamba, dhahabu, almasi, source of biggest Lake in Africa which sustain many countries across Central Africa down to Mediterranian sea.

Inashangaza unataka kuliongoza taifa halafu unajaribu kuwatenga na kuwatukama majority. Watu wenye nguvu. Inachekesha.

Wasukuma ni watu poa sana Tanzania nzima.
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,982
2,000
Mkuu wa mkoa wa Simiyu bwana David Kafulila wakati akitambulishwa kwa wakazi wa Simiyu amewasifu kwa uchapakazi na kusema wao siyo watu wa kulalamika, kwao ni kazi tu.

Bwana Kafulila amesema kabila la wasukuma kwa sasa wako kila mahali nchi hii palipo na fursa wakichapa kazi na hata jimbo analotoka la Kigoma Kusini wamejaa na wamenunua maeneo makubwa wakilima kwa bidii sana.

Bwana Kafulila amesema anajivunia kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na kumuonya mtangulizi wake kuwa ataendelea kupokea vipigo kwenye nyanja zote kwenye mkoa wake mpya wa Dodoma.kwa ushamba wao ndio wametufiukisha hapa tulipo
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,982
2,000
Wasukuma wamezoea kutuķanywa kuitwa majina ya ajabu na matusi mengine zaidi.

Ni watu waojiamini wanacheka wakisikia hizi labels zenu. Hadi unakufa na vijukuu vyako vinakufa hautaweza kubadilisha nguvu yao.

Pole.
unakumbuka kipindi cha mwendazake walisema ni zamu ya?
sasa ni zamu ya wazenji.
 
ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,226
2,000
unakumbuka kipindi cha mwendazake walisema ni zamu ya?
sasa ni zamu ya wazenji.

Wazenji wanawezeshwa na kulindwa hao usiowapenda. Bila wao nchi haitawaliki. Kuna watu makini wanamsaidia mama, wanampenda.

Mabeyo ametulia akimlinda Mama bila kelele. Anaandika vitabu vya watoto, Anachangia pesa watoto wa mtaani, hakosi kanisani.
 
ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,226
2,000
Hata sasa nusu ya baraza la mawaziri ni wasukuma

Wake zao, waume zao ni wa huko huko. IGP ni kutoka kanda ile. Kanda ile ndio wanaosimamia ulinzi na usalama TZ.

Huwezi kuitawala hii nchi bila Wasukuma, they are powerful, influential, wakweli (washamba) hawajui kudanganya sana.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,949
2,000
Hiki jamaa kimesoma lakini hakijaelimika, kinazungumziaje habari za makabila karne hii ya 21!! ? Kama kiongozi anatakiwa kuzungumzia watanzania, anasahau kuwa kuwepo kwa wasukuma Kigoma kuna kuwepo kwa wanakigoma Mwanza na kwingineko na huo ndiyo utanzania
Mshaanza wivu.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,990
2,000
Hiki jamaa kimesoma lakini hakijaelimika, kinazungumziaje habari za makabila karne hii ya 21!! ? Kama kiongozi anatakiwa kuzungumzia watanzania, anasahau kuwa kuwepo kwa wasukuma Kigoma kuna kuwepo kwa wanakigoma Mwanza na kwingineko na huo ndiyo utanzania
Alikuwa anawapa vichwa wavimbe wajione kuwa wao wako juu basi. Ila kiukweli hajaongea Kama mtu aliyekomaa Fulani Ivi.
Mana Tabia Haina kabila,ubaya,uzuri,wizi,uvivu hauna kabila Wala kwao popote watua na kupumzika
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,164
2,000
Alikuwa anawapa vichwa wavimbe wajione kuwa wao wako juu basi. Ila kiukweli hajaongea Kama mtu aliyekomaa Fulani Ivi.
Mana Tabia Haina kabila,ubaya,uzuri,wizi,uvivu hauna kabila Wala kwao popote watua na kupumzika
Nusu ya baraza la mawaziri ni wasukuma
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,593
2,000
Mkuu wa mkoa wa Simiyu bwana David Kafulila wakati akitambulishwa kwa wakazi wa Simiyu amewasifu kwa uchapakazi na kusema wao siyo watu wa kulalamika, kwao ni kazi tu.

Bwana Kafulila amesema kabila la wasukuma kwa sasa wako kila mahali nchi hii palipo na fursa wakichapa kazi na hata jimbo analotoka la Kigoma Kusini wamejaa na wamenunua maeneo makubwa wakilima kwa bidii sana.

Bwana Kafulila amesema anajivunia kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na kumuonya mtangulizi wake kuwa ataendelea kupokea vipigo kwenye nyanja zote kwenye mkoa wake mpya wa Dodoma.

Hata hajafanya kazi nao anatoa sifa! He ni kujihami wasilalamike atakapokuwa anapwaya au anafikiri ni wapenda kusifiwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom