ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,554
- 3,749
Ndio wanaokulinda, kulinda nchi. Kufanya kazi zote ngumu ngumu.Nyie Ni wakabila hamna cha nn wala nn baba yenu alibeba sana
Wangekuwa wakabila kama Wakikuyu Kenya wangetawala milele. Sababu uwezo na namba wanazo.
Ndio wachangiaji wakubwa wa pato la Taifa. Nyama, choroko, dengu, mchele, sato, sangara, dagaa, pamba, dhahabu, almasi, source of biggest Lake in Africa which sustain many countries across Central Africa down to Mediterranian sea.
Inashangaza unataka kuliongoza taifa halafu unajaribu kuwatenga na kuwatukama majority. Watu wenye nguvu. Inachekesha.
Wasukuma ni watu poa sana Tanzania nzima.