David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Kulubhu ntyo uvuye mubhukwelele( ubhuhunguhungu) ubhay' umugabho
 

Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam
.

Wanasiasa acha tu.Kafulila alifukuzwa CHADEMA mchana kweupe.Leo kaenda oa Msichana kada wa CHADEMA rafiki yake mwenyekiti wa CHADEMA.kWA HIYO chadema ni wakwe zake na mwenyekiti wa CHADEMA ni ..... mwenzie.
Kafulila kutwa amekuwa akiiponda CCM na wabunge wake leo ndoa yake imesimamiwa na Mbunge Deo Filikunjombe wa CCM.
CCM anaita CHAMA CHA MAFISADI.Kwa hiyo mafisadi ndio waliosimamia ndoa yake
Kumbe kelele zote zile ilikuwa anatafuta mchango wa harusi IPTL
 
Safi sana !
Bado Mhe Zitto hapo pembeni.Ilikuimaika kimaisha na kiuamuzi ni vizuri ukawa na Mwenza wako na mwisho Familia.
Familia ni nguzo ya Binadamu aliye-kamilifu.

Hongera yako Mhe.Kafulila- Furahi ndani ya kipindi kama hiki kigumu cha issue hii ya Mafisadi isikusahaulishe kaazi ya msingi maana watoto utakaowapata ndani ya Furaha ya ndoa hiyo wanategemea uamuzi na msimamao utakaoufanya ndani ya Bunge kusimamia Serikali sawax2
na mafisadi kutokukwapua Kodi zetu bila kuadhabishwa
 
Last edited by a moderator:
Duuu safi leo mh.ni kuanza kulala bila nguoo
 
Mzaramoumekuwa pdidy anamuona ama anamuoa
 

Ishu sio chama bali baadhi ya wanachama na viongozi sio ccm wote wabaya, na kama alifukuzwa chadema alijua kosa lake akajirekebisha maisha yanaenda, kama mke ukiachwa na mume utachukia wanaume wote uende kwa wasagaji? Deo ni mbunge wa ccm lakini anapingana nao kwenye suala la ufisadi, kama ndoa ingesimamiwa na werema au muhongo labda ingekuwa ajabu.
 
Angekuwa bado yuko CHADEMA ndoa angeisikia tu. Kule hakuna kuoa wala kuolewa.

Mi niko CHADEMA njoo nikuchumbie, nikuoe niku.....ili kuthibitisha wapo waliooa CHADEMA. Kwamba wewe ni mwanamme si kitu mi navinjari hata msalani. Karibu nikushughlikie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…