David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

chiaz! chiaz! na polonium ndani ya glass!/mtu mwenye glov usipeane nae mkono! funga harusi ya kikomunist!/sema wakitumia torch ya sumu sijui utafanyaje?/escrow imesha lipuka hata wakifanya uovu ni 0
 
Hongera kafulila, mawese yasikose kwenye arusi
 
jaman nipo hapa kwenye harusi ya uyu mzalendo david kafulia aliyeitwa mduu na dr slaa pia tumbili na werema...naona hiii ni party ya wazalendo wote picha znakuja
 
Kuna mjinga anafuta ukwel jaman mwandishi anadanganya kafurila mpaka sasa anamtoto wakiume kwa hapa sioni hata dariri.
 
hivi tumbiri halisi ni yupi kati yao mpaka sasa?
 
Bira aoe kabla hajapelekwa Jela na Kalasinga wa PAP
 
Aangalie mafisadi wasje wakamuwekea sumu kwenye chakukura. coz mifisadi haikawii kuwawekea watu sumu.
 
Congratulations, in UK they would probably call you SIR! Good job
 
si alitoswa na DIVA baada ya DIVA kuona ufesti ledi umeota mbawa...

binti kiruka njia yule khaaa...
Daah mkuu kumbe nawe mpana hivi? Ila bwana mkubwa wa PAC si alikuwa anapumzika kwa marehemu Shemeji wetu mke wa marehemu kaka? Ila thamani ya mapenzi bhana...look what theve done mke kazikwa hukooo bwana kaka kisutu...anyway nitakie kaka ''Tumbili'' ndoa njema!
 
Back
Top Bottom