David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Hongera sana mkuu Kafulila david kwa kufunga ndoa takatifu na mtoto mkareee sana.

Baada ya kazi nzito ya kukamta majizi ya pesa za wananchi katika akaunti ya ESCROW, hatimaye mkuu kafulila aamua kujipongeza kwa kuvuta jiko lake la kitambo kirefu.
Ila usisahau na ile ishu yetu ya ESCROW.

Picha:
Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam
.
 

Attachments

  • Zitto.jpg
    26.5 KB · Views: 4,607
  • David-Kafulila.jpg
    16.9 KB · Views: 14,999
  • Hammer.jpg
    35.9 KB · Views: 10,185
  • DAVI8.jpg
    97.3 KB · Views: 4,375
  • DAVI2.jpg
    25 KB · Views: 4,279
  • DAVI9.jpg
    65.9 KB · Views: 10,467
  • DAVID3.jpg
    29.3 KB · Views: 3,141
  • DAV.jpg
    54.7 KB · Views: 3,060
  • DAVI4.jpg
    66.6 KB · Views: 5,776
  • DAV6.jpg
    119.9 KB · Views: 3,077
  • DAVI5.jpg
    46.9 KB · Views: 3,028
Hongera tumbili
Kwanini tumbili haku chana nywele?
 
Hongera ,Filikunjombe jiandae kwenda kuhojiwa na ile kamati yenu,ccm hawanaga kadogo si.
 
Hongera sana Mheshimiwa, hiyo inakupa uhalali wa kuhold post kubwa in near future kwenye serikali ya UKAWA!
 
Yaani Kafulila anafanya harusi wakati huu ilihali "rafiki" yake mkubwa bwana We-lemaa yuko kwenye majonzi akijifikiria maisha yake ya baadae yatakuwa Ukonga au Maweni? Au ili asiwe mbali sana na mjengoni wamuweke hapa Isanga?
 
hongera kaka, na mimi nataka kuoa mwakani jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…