David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Mtoto atakayezaliwa aitwe Escrow bila kujali ni wa kike au wa kiume maana hiyo akaunti haikuwa na ubaguzi wa jinsi.

Naona Manyerere umeamua kutoa ya moyoni vp kamgao hakakukupitia na ww ni mashuhuri sana kwa bahasha za mafisadi
 
Vipi Zuberi Zitto Kabwe alishaoa jamani au anataka kulitumikia taifa kwanza!!!!
 
Kila lenye heri liwe pamoja naye,namtakia ndoa yenye baraka,tumbil huyu noma anakimbiza binadamu,anamulika mwizi men...
 
Kafulila angalia usije ukawa kama James Bond 007 au Ngoswe.
Kila la heri bro
 
Back
Top Bottom