David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

... Acha Kumwita Tumbili, Hebu Mpe Heshima Yake

ni kweli, lakini sidhani amemwita ki vibaya, bali alikua anarefer tu kwa ma gendaeka wawili (Werema na Maswi) waliomuona yeye tumbiri
 
Hee! Anaoa kabla kaka yake Zitto hana hata mchumba?
 
Nitakuwepo kwenye Harusi..yale majizi cjui yanamwangaliaje uyu jamaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ndoa yao, IHESHIMIWE na watu wote.
Nawapongeza wana ndoa na wabarikiwe !
USHAURI:
Mme ampende mkewe.
Na mke amtii mmewe.
 
Mwanzisha uzi ni kenge muongo kafulila kasha oa zamani na mpaka sasa anamtoto mumoja wa kiume labuda sema anakamilisha
 
Hongera sana bro I think Zitto should follow your footsteps.
 
Back
Top Bottom