David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Eti nasikia harusini ilikuwa marufuku HEINKEIN wala WINDHOEK kuonekana eti kweli?
 
Hivi kumbe Jesca ni jiko lake la kitambo kimetulia
 
Hongera sana kamanda wetu Kafulila lakini Werema na Wassira sijawaona kulikoni
 
Mi niko CHADEMA njoo nikuchumbie, nikuoe niku.....ili kuthibitisha wapo waliooa CHADEMA. Kwamba wewe ni mwanamme si kitu mi navinjari hata msalani. Karibu nikushughlikie!

Huko Kwenu CHADEMA wanaume wanaoana?
 
swali: kafulila akibahatika kuwa rais, mkewe ataitwaje? "First Tumbili?"
 
Hongera sana kafulila kila heri tunakuombea kwenye maisha ya ndoa
 
MBUNGE WA KIGOMA KUSINI, [Mr. ESCROW]MHE DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WAMEREMETA MJINI UVINZA

SUNDAY, NOVEMBER 23, 2014


Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014

Mhe David Kafulila akiwa kanisani na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014

Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa wazazi wa bwana harusi

Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge waliopamba harusi ya Mhe. David Kafulila katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe Zitto Kabwe na Mhe David Silinde. Picha zote na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma


: MICHUZI
 
Huyu Jessica Kishoa no yule kamanda wa chadema aliyetukanwa na mwigulu mchemba? ?? Au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…