David Kafulila akamatwa na Polisi

...... Watakamata Sana, Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu..
 
huu uharo sijauelewa kamwe! Kwani kigoma wanachangia kiasi gani tofauti na mikoa mingine? Unafahamu aina za kodi kweli wewe?
 
kwani serikali imepungukiwa pesa mpaka wanainchi wachange???
pesa za kutawanya kwa maviroba leo wanainchi wachange?????

hata akikamatwa tayari MCC wameshaweka sharti la kutekelezwa kwa maazimio ya bunge

Hawana pesa!!! Wamenyimwa misaada wakati wanahitaji za kurubuni wapiga kura.

Sasa hivi kama Cameron anasikia haya hebu aje na lile sharti lake, Utaona mzee wa tezi dume anakenua meno na kusema sawa tu!
 

..... Acha Pumba Zako Hapa, Hivi Unjua Vizuri Mapato Ya Inchi Kutoka Kigoma? Fuatilia Data Wewe Siyo Unakurupuka Tu
 

..... Acha Dharau Na Mikoa Ya Watu Wewe, Kama Huna Cha Kuongea Kaa Kimya. Toa Data Basi Tukuelewe
 
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.
 
Unahitaji kuwa na takwimu sahihi. Unachotaka sidhani kama kina ukweli, hakuna mkoa usioweza kujiendesha walipewa fursa
 
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.

..... Wahujumu Uchumi Wa Inchi Yetu Kama Akina Chenge, Singa Singa, Tibaijuka, Muhongo, Maswi Et Al Mbona Hawajakamatwa Mpaka Sasa?
 
Acha uhuni kibaka wa kiccm
 
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma

Kuchangia pesa za maendeleo? Huo ujinga watu tulishaacha cku nyiiiingi. Shukurani kwa jembe langu diwani shoka Peter Lijualikali. Kata ya ifakara hapa wilayani kilombero
 

Mkuu asante kwa majibu mazuri kabisa.
kwa hiyo jamaa wanafeli kumkamata, sababu SIYO lazima kuchangia! ni hiyari na Inabidi kukubaliana,asante kwa kututoa tongotongo!
 

........ Waha Wabishi Wewe Na Wana Akili Sana Ya Kufikiri Siyo Kama Hao Wajinga Unaowasema, Wao Hata Wakiambiwa Wachangie Kuwatoa Kafara Watoto Wao Wanafanya Tu, Hawafikiri Hata Kidogo. Kwa Taarifa Yako Kigoma Kuna Shule Nyingi Na Nzuri, Bila Kuchangishana Zimejengwa. Halafu Hiyo Vumbi Unayosema Hata Dsm Ipo, Kama Ni Funza Hata Wewe Unazo.! Ukioza Zinatoka Tu. Subiri Utaona
 
Sema Tumbili kakamatwa kwa kuvamia mahindi yaliyopo shambani
 

Ata kilimanjaro amna anaye changia acha kujitekenya kwa kichanga tunawaitaga fusaa watu kama nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…