Ya kuhusu Rostam kuiba mabilioni ya watanzania benki kuu?
Si unajua Mwenyekiti Mbowe bado anajilipa "madeni" yake, shamba la bwana kheri na Mbuzi wa bwana kheri!
Ya kuhusu Rostam kuiba mabilioni ya watanzania benki kuu?
Teh teh teh
Mbowe anaijua kweli intelenjesia, ha ha ha ha ha huo ni msimiati mkubwa sana kwa mbowe labda amtafute mwafrika ama masanilo ampe maana yake.
Si unajua Mwenyekiti Mbowe bado anajilipa "madeni" yake, shamba la bwana kheri na Mbuzi wa bwana kheri!
Mkandara anamugopa mzee wa kanaz
Well, tatizo la wanasiasa wetu walio wengi ni kwamba siasa kwao ni kazi. Akinyang'anywa cheo maana yake ni kwamba wamemnyang'anya namna ya kuishi hapa mjini. Sasa mdogo wangu Kafulila naye inaonekana yumo kwenye kundi hilo. Taarifa tulizo nazo ni kwamba anaenda NCCR na ameahidiwa mambo kedekede ikiwemo kupangishwa nyumba na mshahara wa kila mwezi. It is not about philosophical and policy issues; it is about instrumental needs! What a shame!
Chadema kwa sasa ni taasisi. Huu ni mchujo mzuri, watabaki wanasiasa wa kweli na wenye mapenzi ya kweli ya kufanya siasa na kuleta ukombozi katika nchi hii. Hatukatishwi tamaa, tunaendelea kukanyaga kwenda mbele hadi kieleweka. Tutaweweseka lakini hatuanguki na tunasonga mbele.
Kila la heri mdogo wangu Kafulila huko uendako. Uwe makini sana huko, na uangalie usije ukawa unaruka mkojo....but then it is too late, you have already made your decision. Best wishes!
1. Naomba nipe jina la mwanasiasa ambaye kwake siasa siyo njia ya kuingiza pesa, hapa nchini Tanzania.
(a) Kama una kiri kuwa mlio ndani ya Chadema ni wenye mapenzi ya kweli na hamko kwa ajili ya pesa unakiri waz wazi kuwa; kumbe kweli matumizi ya RUZUKU hayapo wazi, na ni kweli tajiri Mbowe ndiye anakiendesha chama!
(b) Kwa hali za watanzania, mmeshindwa kuweka vitega uchumu muwalipe wafagizi na mamesenja, hao wote mnataka wafanye bure,
(c) kwa hali hiyo mmeshindwa kukifanya Chama kuwa cha wananchi, bali cha mabepari wachache
Tuhuma za matumizi mabaya na uficho juu ya pesa, hazikuanza leo wala jana ndugu Kitila, Wangwe alilalamika, Kafulila, wanachadema mikoani wanalalamika! ''hapa umetekwa Dr.''
2. Kama hayo hapo juu hayatendeki vizuri, Chadema siyo TAASISI, dont fool yourself Lecturer mwenzangu!
3. Kafulila mko naye Chadema, unamfahamu vizuri, Dr.Kitila hayo hapo juu KWELI IS THIS THE RIGHT PLACE TO SAY,KAFULILA BYE! si unathibitisha huyu dogo alikuwa hana amani, kumbe si na Mbowe tu bali na wewe!
Kama ungemjali na kweli kumtakia mema pasipo unafiki, ungemtafuta, mpigie simu, mtumie e-mail nenda kwake, siyo kusemea humu, Dr! what happened with you!!
It will take time for Chadema to clear these issue, believe me
Pombe za bure mbaya mpaka unakosa akili..unatetea wavunjifu wa democrasia...lolUnaweza kuweka pia matumizi ya chama chenu cha ccm?
Pombe za bure mbaya mpaka unakosa akili..unatetea wavunjifu wa democrasia...lol
Nakuhofia wewe ambaye bila mbowe (billicans na pombe za bure huwezi kuishi)...lol endelea kumtetea huyo kilaza wako na chama chenu ...akili ndogoha ha ha,
sikujua kama unazimiss pombe za bilicanas. Sasa, bado una mpango wa kupiga marufuku baa zote za Tanzania (nchi ikishageuzwa na kuya ya kiislam - Tanzanistan)?
yap mzee wa kanazteh teh teh .. kanaz
Nakuhofia wewe ambaye bila mbowe (billicans na pombe za bure huwezi kuishi)...lol endelea kumtetea huyo kilaza wako na chama chenu ...akili ndogo
MWafrika
CHADEMA si mda mrefu inapigwa bao na TLP.Amini nakuambia
Kwa mtindo huo wa kupenda pombe..lazima umtetea mbowe mpaka kufa..hongera unajua sana namna ya kuishi town..lolnaona mate yamekutoka kweli kila mara ukitamka pombe za billicanas. Inaonekana unataka niendelee na ile story kati ya Tumaini na Ohsamdan.
*** wakati huo huo, gari la kusambaza bia za ndovu linapita ***
Ohsamdan (huku mate yakimdondoka) --- afhrrrffghrjhgjf
Tumaini --- nini tena?
Ohsamdan --- wewe acha tu
*** itaendelea ***
Kwa mtindo huo wa kupenda pombe..lazima umtetea mbowe mpaka kufa..hongera unajua sana namna ya kuishi town..lol
Hata mimi ningekuwa raia wa porrrrrraandi ningeipigia kura TLP badala ya chadema. Kwanza wanachadema wengi hawajui kiporishi kama wana TLP. Hiyo ni sababu tosha kabisa ya kuwanyima kura chadema.
Pombe pombe eh endelea mzee wa pumba..lol akili ndogo*** baadaye Tumaini anapandisha sauti kwa hasira ***
Tumaini --- niache tu nini?
Ohsamdan --- mhh
Tumaini --- nijibu swali, hiyo tabia ya kupenda ndovu umeianza lini?
Tumaini --- ndovu haitakuwezesha kuishi town, safari ndiyo kiboko yao..
*** itaendelea ***
kama wewe ulivyokwenda kuwavuruga CUF.HIVI UNAJUA HAPO ULIPO UMEKALIA KUTI KAVU?MWENZAKO AKINYOLEWA WEWE TIA MAJI.MBOWE NI DIKTETA NAWE IKO SIKU YAKO.UMEFIKIA WAPI KWENYE MCHANGO WA WAKILI.WEE JAMAAA KWA KUOMBA SIKUWEZI.Kafulila, ana haki yake ya kwenda popote apendapo. Chadema si baba wala mama yake.
Sasa kelele zote za nini?
Mwacheni akatafute chakula maana hawezi kaa mjini bila kazi aliyoichezea mwenyewe.
mwisho utasikia yuko sisi m alikotokea baada ya kazi maalum. Najua hatakosa sababu za lawama ya hapa na pale.
Historia tu ndio itampiga chini.
heshima ni kwa pande mbili siwezi kukaheshimu kazee haka kwa ubakaji wa demokrasia kalioufanya.kamemzuia zitto na sasa kamemfukuza kafulilla.siwezi kukaheshimu milele.samahani ndugu yangu.kumbuka "hako" kazee kana busara sana, ukishaanza kejeli bila hoja ya msingi "hakatokujibu"
by the way ni kama baba yako kwanini haumweshimu?, kutofautiana kiitikadi za kichama hakumfanyi mtu aache kuheshimu mila zetu za kiafrika.
Jadili bila jazba na kejeli, nawe utajibiwa.
Unaweza kuweka pia matumizi ya chama chenu cha ccm?