Namaanisha dada mkuu kutoka mjengon pamoja na kuwa na sura kama tofali stil ana mume imagine how much do wanaume have huruma wanatia yyt tu ashakumsi matusKuna kitu unachanganya nadhani unamfananisha Joyce mukya aliyezaa na Mbowe na Tulia Ackson.Hao ni watu wawili tofauti
Kota pin inaingia kwa nyundo na inatoka kwa nyundoHahahahaaaa nimecheka sana. Eti Kota pin ya baiskeli. You have made my day.
ameamua kufuata ufisadi na watuhumiwa wa ufisadi. Kweli njaa jamani ni mbaya. No matter what. ameshapotea katika siasa kwa maamuzi haya. Ni bora angebaki bila chamaKafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi
Kabla ya NCCR, Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA. Habari. zaidi soma=>David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA
ni kweli mkuu hata wewe hapo angehamia ccm ungemsifia sana sifa kedekede hata hasizokuwa nazo lakini kwasababu amehamia cdm unamponda lakini sishangai miafrika ndivyo tulivyohii thread ingekuwa amehamia ccm ungesikie mara njaa mbaya, mara usaliti mbaya lakini kwa kuwa ataenda chama pendwa atapongezwa
Amesema watu wenye nia mojaya mabadiliko wake chama kimoja ili kufupishasafari hujui kusoma?Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Kwa hiyo A = B ?Alichokifanya ni kutoka Chumba A na kuhamia Chumba B,
Zote ni herufi!Kwa hiyo A = B ?
NCCR sio size yake?. Hapa kuna ka harufu ka battle cdm vs nccr.Kafulila ndio saizi yake kuwa Chadema., ata ivyo amecherewa sana kujiunga
UKAWA wameanza kuchukuliana Wachezaji!