mwingereza mangi
Member
- May 9, 2013
- 19
- 14
Krb sana
Umuhimu wa yeye kurudi tena Chadema, muulize babu Duni kwa nini aliamua kurudi CUF kutoka CDMKaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Na Slaa atarudi kwenye siasa za CDMLowasa, Sumaye na Kingunge watarudi CCM.
Kama hili ndio lengo bora umshauri arudi mapema huko alikokua!Tutampa agombee uraisi 2020
Ningelishangaa ukashindwa kutaja chama kinacokunyima usingiziNdani ya ukawa kuna vyama vitainuka na vingine vitakufa au kumalizwa nguvu na vyama vilivyokuwa n nguvu zaidi c hivyo tu hata nje ya ukawa kuna vyama vitakufa eg act wazalendo
Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi
Kabla ya NCCR, Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA. Habari. zaidi soma=>David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA
Hiyo inaitwa kula kulala kwa mke.Njaa mbaya.Hakuna kazi ngumu kwa mwanamke kama kazi ya kulisha dume.Pole sana mama kafulila zigo hilo unalo.Hana pakula sasa inabidi awe anamfata mkewe popote alipo kwenye siasa asa za chadema
Ubunge kwa awamu hii ambayo kuna mhimili umechimbiwa ndani zaidi ya mihimili mingine ni bora kujing'atuaKwa hiyo nccr inakufa??
Alafu mbatia ni mbunge, anajing'atua??