Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Chama cha waliokosa.
Ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikiripower of a woman
We bwege nakuchukia sanahahahaha mbuzi kala mkeka....Mbatia chalii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Kumbe da tulia ana mume du ila sisi wanaume tuna huruma sanaMume wa tulia ni mkurugenzi mkubwa sio jobless anayetegemea mkewe alipwe posho za vikao vya bungeni halafu alete wakanunue unga nusu kilo na robo na fungu LA mchicha wale
Hajitambui nafikiri,vigeugeu wako wengi nchi hii mbora ccm itawale milele.Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.
“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema
View attachment 446944
SOURCE: Mwananchi
Kabla ya NCCR, Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA. Habari. zaidi soma=>David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA
Ndio mnajifanya hamjui malengo ya ukawa ama?Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?