Taifa_Kwanza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 443
- 88
Ukitazama efforts zilizofanywa na "projects in hand" za umeme utakuta tunakos a umeme kwa ajili ya watendaji wachache tu na si kuwa hakuna efforts, wazembe wachache ama kwa matamanio yao ama kwa kutowajibika ipasavyo ndio wanaichafua "system" na hizo bugs lazima ziwe eliminated one way or the other.
Matatizo tulio nayo ya umeme sasa hivi, sio kuwa hatuna mitambo ya kutosha kuondosha mgao au kumaliza kabisa hili tatizo, la hasha. Tatizo ni watendaji wabovu kama huyu Jairo wa wizarani na wengine pale Tanesco. Kuna habari za kuaminika kabisa (ushahidi nnao) kuwa baada ya sheria mpya ua umeme,kuna watu wametaka kuja kuwekeza kwa fedha zao lakini wamewekewa vizingiti pale wizarani, na nani? huyo huyo Jairo. kuna wawekezaji wamemuandikia email kuhusu kuwa na nia kabisa ya kuwekeza kwenye umeme, lakini hata kuwajibu hakuwajibu na hao watu anawajua na wameshafanya kazi hapa Tanzania (in the past). Kwa nini hajawajibu? kwa sababu alikuwa anajuwa akianza mawasiliano nao atakosa ulaji. Ushahidi nnao.
huyo kwisha huyo, huyo ndio fitna mkubwa na alikuwa akijulikana sema alishindikana, lakini sasa, kwisha.
Na tutaona mabadiliko ya dhati kule nishati na madini.
Yaani inafikia mahali hata hujifeel tena kama Mtanzania
Mkuu wewe tu umebaki haujala lunch ikulu, jipange uwemo na wewe, mwezi unaisha huu, au huoni!kama anazuia watu kumuona rais bila sababu za msingi he is right....rais ni mtu wa mwisho mkuu kuliko wote kwenye taifa ....sasa kama kila mtu atataka kumuona ..ni tatizo..hata hii kumpa blackberry awe anachat ovyo ,...system za nchi nyingine hazikubali...rais asome sms au hata email ambayo its not filtered...jaribu kufikiria pale rais anapopewa umbeya kwenye sms ..au email pasipo wasaidizi kujuwa na ikainfluence baadhi ya maamuzi nyeti ......huoni ni hatari!!!!.....hata bosi wa kawaida ana secretary ambaye kazi yake ni kuchuja mchele na chenga kabla ya kumpelekea bosi kitu safi afanyie kazi...
thats how system works...sasa mambo ya kuruhusu kandambili onyo ikulu hayapo hayo....,ni vema kama mtu anataka kumuona rais akamsubiri bagamoyo...au chalinze...Hata mwalimu walikuwa wakimsubiri msasani...,na mkapa walikuwa wakimsubiri upanga...au lushoto!!!
mambo ya kukaa feri job less kona na kwenda kula lunch ikulu ya magogoni kama yamerudi yapigwe vita na kina jairo!!!
Jairo mshikaji wake JK, wametoka mbali tangia enzi zao ufisadi nishati na madini wako pamoja hao, so msipoteze muda, hafukuzwi mtu hapo.
Hivi kwa nini hawa wawili hawana ushirikiano kwenye kazi zao...maana saa zingine huwa nawaona kama vile DUMB & DUMBER lakini mmoja na hasa Jairo kwa nini amekuwa mjinga kama Salva?
Na la muhimu zaidi kwa nini Jairo unamwongopea rais kuwa WEBSITE si kitu cha muhimu au ndio unaleta uhuni wako kama wa mzee LUHANJO?
Hivi hii aibu mtaendelea kuitia aibu Ikulu mpaka lini?
.............sasa siku hizi kwa nini usijenge kama rais mwenyewe.....ananunua designers brand...newyork ...just a blazer..for up to $4,000 per pc....acha vitu vingine...na anavijua viwalo..hamjaona east african ...he is considered among the african well dressed statesman...