David Jairo wa IKULU

kama anazuia watu kumuona rais bila sababu za msingi he is right....rais ni mtu wa mwisho mkuu kuliko wote kwenye taifa ....sasa kama kila mtu atataka kumuona ..ni tatizo..hata hii kumpa blackberry awe anachat ovyo ,...system za nchi nyingine hazikubali...rais asome sms au hata email ambayo its not filtered...jaribu kufikiria pale rais anapopewa umbeya kwenye sms ..au email pasipo wasaidizi kujuwa na ikainfluence baadhi ya maamuzi nyeti ......huoni ni hatari!!!!.....hata bosi wa kawaida ana secretary ambaye kazi yake ni kuchuja mchele na chenga kabla ya kumpelekea bosi kitu safi afanyie kazi...

thats how system works...sasa mambo ya kuruhusu kandambili onyo ikulu hayapo hayo....,ni vema kama mtu anataka kumuona rais akamsubiri bagamoyo...au chalinze...Hata mwalimu walikuwa wakimsubiri msasani...,na mkapa walikuwa wakimsubiri upanga...au lushoto!!!

mambo ya kukaa feri job less kona na kwenda kula lunch ikulu ya magogoni kama yamerudi yapigwe vita na kina jairo!!!

obamaputshis.jpg
obama-blackberry.jpg
obama-bb.jpg
 
Huyo kwisha huyo, huyo ndio fitna mkubwa na alikuwa akijulikana sema alishindikana, lakini sasa, kwisha.

Na tutaona mabadiliko ya dhati kule Nishati na madini.
 
system ya mazuzu magic, wanaopewa kazi kwa majina na si kwa ajili ya intelligence yao na uwezo wao wa kushauri.

sawa kabisa kaka! CCM hawana maana tena kwa watanzania. watanzania tuungane tuikomboe hii nchi
 
kama anazuia watu kumuona rais bila sababu za msingi he is right....rais ni mtu wa mwisho mkuu kuliko wote kwenye taifa ....sasa kama kila mtu atataka kumuona ..ni tatizo..hata hii kumpa blackberry awe anachat ovyo ,...system za nchi nyingine hazikubali...rais asome sms au hata email ambayo its not filtered...jaribu kufikiria pale rais anapopewa umbeya kwenye sms ..au email pasipo wasaidizi kujuwa na ikainfluence baadhi ya maamuzi nyeti ......huoni ni hatari!!!!.....hata bosi wa kawaida ana secretary ambaye kazi yake ni kuchuja mchele na chenga kabla ya kumpelekea bosi kitu safi afanyie kazi...

thats how system works...sasa mambo ya kuruhusu kandambili onyo ikulu hayapo hayo....,ni vema kama mtu anataka kumuona rais akamsubiri bagamoyo...au chalinze...Hata mwalimu walikuwa wakimsubiri msasani...,na mkapa walikuwa wakimsubiri upanga...au lushoto!!!

mambo ya kukaa feri job less kona na kwenda kula lunch ikulu ya magogoni kama yamerudi yapigwe vita na kina jairo!!!
WTF is this!!!!
Ameajiriwa kuzuia watu wasimuone rais?
Ameajiriwa kumshauri rais, je amefanya kazi hiyo zaidi ya kujipa u-personal secretary??
 
Huyo kwisha huyo, huyo ndio fitna mkubwa na alikuwa akijulikana sema alishindikana, lakini sasa, kwisha.

Na tutaona mabadiliko ya dhati kule Nishati na madini.
Kwahiyo Jairo ndo alikuwa anazuia maendeleo ya Nishati na Madini?
the whole syndicate must go!!!

sorry mpenzi FF, this is the hot iron pallets that you need to swallow !
 
Ukitazama efforts zilizofanywa na "projects in hand" za umeme utakuta tunakos a umeme kwa ajili ya watendaji wachache tu na si kuwa hakuna efforts, wazembe wachache ama kwa matamanio yao ama kwa kutowajibika ipasavyo ndio wanaichafua "system" na hizo bugs lazima ziwe eliminated one way or the other.

Matatizo tulio nayo ya umeme sasa hivi, sio kuwa hatuna mitambo ya kutosha kuondosha mgao au kumaliza kabisa hili tatizo, la hasha. Tatizo ni watendaji wabovu kama huyu Jairo wa wizarani na wengine pale Tanesco. Kuna habari za kuaminika kabisa (ushahidi nnao) kuwa baada ya sheria mpya ua umeme,kuna watu wametaka kuja kuwekeza kwa fedha zao lakini wamewekewa vizingiti pale wizarani, na nani? huyo huyo Jairo. kuna wawekezaji wamemuandikia email kuhusu kuwa na nia kabisa ya kuwekeza kwenye umeme, lakini hata kuwajibu hakuwajibu na hao watu anawajua na wameshafanya kazi hapa Tanzania (in the past). Kwa nini hajawajibu? kwa sababu alikuwa anajuwa akianza mawasiliano nao atakosa ulaji. Ushahidi nnao.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hongereni sana JF kwa kutupa background info juu ya Jairo! Hata hivyo sijajua mambo ya Obama na Blackbery yanaingiaje?
 
Ukitazama efforts zilizofanywa na "projects in hand" za umeme utakuta tunakos a umeme kwa ajili ya watendaji wachache tu na si kuwa hakuna efforts, wazembe wachache ama kwa matamanio yao ama kwa kutowajibika ipasavyo ndio wanaichafua "system" na hizo bugs lazima ziwe eliminated one way or the other.

Matatizo tulio nayo ya umeme sasa hivi, sio kuwa hatuna mitambo ya kutosha kuondosha mgao au kumaliza kabisa hili tatizo, la hasha. Tatizo ni watendaji wabovu kama huyu Jairo wa wizarani na wengine pale Tanesco. Kuna habari za kuaminika kabisa (ushahidi nnao) kuwa baada ya sheria mpya ua umeme,kuna watu wametaka kuja kuwekeza kwa fedha zao lakini wamewekewa vizingiti pale wizarani, na nani? huyo huyo Jairo. kuna wawekezaji wamemuandikia email kuhusu kuwa na nia kabisa ya kuwekeza kwenye umeme, lakini hata kuwajibu hakuwajibu na hao watu anawajua na wameshafanya kazi hapa Tanzania (in the past). Kwa nini hajawajibu? kwa sababu alikuwa anajuwa akianza mawasiliano nao atakosa ulaji. Ushahidi nnao.

Asante Dada Faiza kwa ufafanuzi mtamu...........nakupa hii simu ya Obama kwa sasa........highly controlled by NASA....NO FRIENDS NO PALS TO CALL......Ndio hiyo anaidondosha dondosha

obama4.jpg
 
Hata mm nilishangaa nilipoona Obama na blackbery!au ni FFalitaka kutupotezea?

Big up JF!hii issue ya Jairo niliisomaga humu humu longtime ago!nashukuru leo nime refresh my mind!
 
Hivi kweli unaamini hayo ya kuanikwa wazi siri ya simu ya Obama kwa usalalam wake? Unanshangaza sana!

Obama ni addict wa BB, kama wamenyang'anya wamefanya la maana lakini hilo la kuonesha simu yake iko hivi na hivi ni pumba tu. Tazama hiyo simu uliyoionesha ina antennae iliyochomoza halafu tazama simu anayobeba obama kwenye picha zote haina hiyo antennae iliyochomoza, ndio maana nikakwambia hiyo ni pumba tu. Halfu mie sijaona BB yenye antennae iliyochomoza namna hiyo, unanini weyee?
 
Hata mm nilishangaa nilipoona Obama na blackbery!au ni FFalitaka kutupotezea?

Big up JF!hii issue ya Jairo niliisomaga humu humu longtime ago!nashukuru leo nime refresh my mind!

Tazama post #70 na 71 halafu useme ni nini hicho? na hizo picha useme kuwa nimezi photoshop mimi ili niwapoteze. Unanchekesha!
 
Naisikitikia nchi yangu Tanzania imebaki nchi ya kitu kidogo eee Mungu utuepushe na mambo mabaya amen
 
una namba yake?huna..anayo michelle,hillary etc..huelewi tunachoongea? acha u comedians

Hoja ya simu imekushinda unanianza mimi sasa, unanini weyee? Sijaongea mimi, picha zimekujibu, wewe jitetee lakini ukweli unabaki kuwa ukweli.
 
kama anazuia watu kumuona rais bila sababu za msingi he is right....rais ni mtu wa mwisho mkuu kuliko wote kwenye taifa ....sasa kama kila mtu atataka kumuona ..ni tatizo..hata hii kumpa blackberry awe anachat ovyo ,...system za nchi nyingine hazikubali...rais asome sms au hata email ambayo its not filtered...jaribu kufikiria pale rais anapopewa umbeya kwenye sms ..au email pasipo wasaidizi kujuwa na ikainfluence baadhi ya maamuzi nyeti ......huoni ni hatari!!!!.....hata bosi wa kawaida ana secretary ambaye kazi yake ni kuchuja mchele na chenga kabla ya kumpelekea bosi kitu safi afanyie kazi...

thats how system works...sasa mambo ya kuruhusu kandambili onyo ikulu hayapo hayo....,ni vema kama mtu anataka kumuona rais akamsubiri bagamoyo...au chalinze...Hata mwalimu walikuwa wakimsubiri msasani...,na mkapa walikuwa wakimsubiri upanga...au lushoto!!!

mambo ya kukaa feri job less kona na kwenda kula lunch ikulu ya magogoni kama yamerudi yapigwe vita na kina jairo!!!

Mzee wa mvi nyeupee "PHILEMONI LUHANJO tumekupata bila chenga
 
Back
Top Bottom