Duh!hii ni kali ya mwaka!!Umeambiwa na nani kwamba JK bado zimo?
Mh!nchi hii sijui kama ufisadi utakuja kuisha au kupungua,watu wengi sana wanapaswa kujivua gamba!!Jairo ni fisadi wa kutupwa, ana jumba la ajabu amejenga pale Ada Estate, mwaka mmoja baada ya Jk kuingia madarakani, anakula kodi, USD 8,000 per month!
Hivi kweli unaamini hayo ya kuanikwa wazi siri ya simu ya Obama kwa usalalam wake? Unanshangaza sana!
Obama ni addict wa BB, kama wamenyang'anya wamefanya la maana lakini hilo la kuonesha simu yake iko hivi na hivi ni pumba tu. Tazama hiyo simu uliyoionesha ina antennae iliyochomoza halafu tazama simu anayobeba obama kwenye picha zote haina hiyo antennae iliyochomoza, ndio maana nikakwambia hiyo ni pumba tu. Halfu mie sijaona BB yenye antennae iliyochomoza namna hiyo, unanini weyee?
mbio za sakafuni................kanda2 kituna box sasa hiviii.kaa ulivosema...
but JK anajua kilichofanyika
Dada Faiza,
Acha ukali basi.....hata miye? Soma hapa ujue ukweli (au pumba :dance wa hoja yangu
Bill Clinton sent only two e-mail messages as president and has yet to pick up the habit. George W. Bush ceased using e-mail in January 2001 but has said he's looking forward to e-mailing "my buddies" after leaving Washington, D.C.
Barack Obama, though, is a serious e-mail addict. "I'm still clinging to my BlackBerry," he said in a recent interview with CNBC. "They're going to pry it out of my hands."
One reason to curb presidential BlackBerrying is the possibility of eavesdropping by hackers and other digital snoops. While Research In Motion offers encryption, the U.S. government has stricter requirements for communications security.
"Without more details I would have to say that putting sensitive or classified information on a BlackBerry is a risky proposition," said Greg Shipley, chief technology officer at Neohapsis, a governance, risk, and compliance consultancy.
Fortunately for an enthusiastic e-mailer-in-chief, some handheld devices have been officially blessed as secure enough to handle even classified documents, e-mail, and Web browsing.
The Sectera Edge, a combination phone-PDA that's been certified by the National Security Agency as being acceptable for Top Secret voice communications and Secret e-mail and Web sites.(Credit: General Dynamics).One is General Dynamics' Sectera Edge, a combination phone-PDA that's been certified by the National Security Agency as being acceptable for Top Secret voice communications and Secret e-mail and Web sites. Through three separate interchangeable modules, it works with Wi-Fi, GSM, or CDMA networks, and is dust-proof, waterproof, and rugged enough to survive repeated 4-foot drops onto concrete. Physically, it's a chunkier second cousin to the Palm Treo 750, though with an additional LCD display below the keyboard.
The price is $3,350 with a two-year warranty, a princely sum that's reflected in the Pentagon-worthy price tags for accessories: a simple adapter for a lighter plug costs $100. (Never again should you complain about how much your civilian analogue costs.)
The Sectera runs a mobile version of Microsoft Windows, including versions of Word, Excel, PowerPoint, and Windows Media Player. The NSA claims that the installed versions of Internet Explorer, WordPad, and Windows Messenger are good enough for data that's classified at a level of Secret. Presumably the federal spooks have found a way to protect IE from the numerous security flaws that continue to plague the Internet's most popular browser.
The NSA declined to comment on Monday.
Udini na uchama!leo naona uchama umewekwa pembeni,cha muhimu ni udini!duh,kazi kweli kweli!!Huyo kwisha huyo, huyo ndio fitna mkubwa na alikuwa akijulikana sema alishindikana, lakini sasa, kwisha.
Na tutaona mabadiliko ya dhati kule Nishati na madini.
Tazama post #70 na 71 halafu useme ni nini hicho? na hizo picha useme kuwa nimezi photoshop mimi ili niwapoteze. Unanchekesha!
Off topic lakini FF unan'kosha na hizo "unanchekesha", "una nini weye". Nasubiri kusikia "babu uni hoo eee" muahahaha
Kama unavyokera!Wanakera hawa.
Wanakera hawa.
Jairo mshikaji wake JK, wametoka mbali tangia enzi zao ufisadi nishati na madini wako pamoja hao, so msipoteze muda, hafukuzwi mtu hapo.
kwa skendo hii itapona?,mbon JK alishindwa kumshikilia EL wakati ule?,aajibike huyu!
hii Mada mbona haijakaa sawa??!!!
Nimebaki najiuliza sana toka jana, hivi inawezekanaje Katibu mkuu aandike barua ambayo Waziri wake hana taarifa nayo?
Hivi anayesoma bajeti bungeni ni katibu mkuu au waziri? kama moto wa bungeni nani anaupata zaidi kama si waziri?
Majibu ya maswali yangu ni kwamba Katibu ni wajibu wake kutenda yale anayoagizwa na Bosi wake na kwamba si katibu pekee kaitenda hii dhambi bali na waziri kashiriki kikamilifu na lazima alikuwa anajua kuhusu huu mshiko.
Hatuna utamaduni wa kuwajibika, lakini kwa hili, Waziri husika, waziri mkuu walitakiwa kujipima wao wenyewe kisha waachie ngazi.
Hii nchi nani sasa anawezekana maana kila "mbabe wa kivita" akifuja mali ya umma tunasema kirahisi tu, ameshindikana!!!Huyo kwisha huyo, huyo ndio fitna mkubwa na alikuwa akijulikana sema alishindikana, lakini sasa, kwisha.
Na tutaona mabadiliko ya dhati kule Nishati na madini.