Sasa kwa nini huwa kila ukiona Sikonge, lazima uweke vicomment vyako?
Si uchane na mie kama sikulishi wala sileti effect yoyote? Ila kila ukiona jina langu basi udenda unakutoka na kuanza kuleta maneno kibao. Wee ukiona Sikonge, achana kabisa na hili jina tukufu, jina pekee lisomekalo tofauti na kibantu yaani SAIKONG...... or call it black Islands.
Ukiona Saikong, wee pitia mbali kabisaaaa........
YouTube- Tupac I Ain't Mad At Cha
Dunia yangu itakuwa njema sana kama utakaa mbali kabisa na mie.
Dume kujiita jina la kike na kuandika kike kike, ni ishara tosha ya mtu anayeishi Mombasa style.
Sikonge,
Yamekuwa haya kaka yangu? Na hiyo vidio uliyoweka ya Tupak mbona ni ya kusamehe?Nilipokuwa na hasira na mtu nilikuwa naipiga hiyo rekodi na kupata moyo wa kusamehe. Yaishe basi.
Sikonge,
Yamekuwa haya kaka yangu? Na hiyo vidio uliyoweka ya Tupak mbona ni ya kusamehe?Nilipokuwa na hasira na mtu nilikuwa naipiga hiyo rekodi na kupata moyo wa kusamehe. Yaishe basi.
Mtu akufuate fuate unakunya mafuta?Akujue ili imsaidie nini?Hii ni sehemu ya kubadilishana mawazo na kuelimishana na rules zinasema huruhusiwi ku speculate ID ya mwingine.Hapa ukiletwa mchango wowote unajadiliwa na mtu yeyote.Kama kuna hoja utapewa thanks,kama viroja utapewa viroja vilevile.
Wengine ndiyo mnasaidia kumpa nguvu Dr.Watson na ule msemo wake wa Miafrika ina...
Nilikuwa nategemea mtu mwenye IQ kubwa ataelewa umuhimu wa KUICHANGIA JF kabla hata hajakumbushwa...... Dezo dezo.
YouTube- Tshala Muana - Dezo Dezo
Ndio Taifa letu lilivyo! Unafiki sijui nani ndio muasisi wake lakini umeshika hatamu kuliko hata ujamaa aliuasisi Nyerere.Lol- Mkuu wangu, ni kwamba walikuwa wanamtafuta siku nyingi sana kumuondoa, lakini Kawawa alikuwa anawazuia kwa sababu hakuona sababu ya msingi, lakini hawa wajanja wakamzungukia kwenye bajeti ya Wizara ya nje, wakamtumia Kimiti aliyedai specifically kwenye kamati ya nje kwamba Mwakawago, Nyag'anyi na Sarakikya wasiporudishwa, bajeti haipiti,
- Mkuu Jasusi hili taifa tuna mafia sana wa kichini chini can you imagine hizi schemes utafikiria wanauchungu na taifa kumbe ni ujanja ujanja tu! Aliniambia jinsi walivyomkatalia kabisa kumuona Mkapa na huyu wa sasa yeye Marehemu ndiye aliyempeleka Tunduru kutoka Dodoma, yaani alikuwa hataki kabisa hata kumsikia, sasa subiri uwaone kwenye mazishi na unafiki wao!
Respect.
FMEs!
Mkuu masikitiko yako ni sahihi kiasi.Inasikitisha kuna watu bado wanaona ni sawa kwa viongozi kusafirishwa kwenda kutibiwa nje huku mamilioni ya Watanzania hawana hata Asprin.
Ni mawazo mufilisi kweli na aibu kwa taifa letu. Lini tutaelewa kwamba lazima tutengeneze vyetu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye vya wenzetu?