Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!

Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani
DSC_0646.JPG

Hii ni servant quarter

Parking ya magari

Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi

Kwa ndani

DSC_0648.JPG

kwa ndani

kwa nje

ukuta embu ona kwa karibu!!!

Nilipenda sana kichuguu eeh!!

huu ndio msikiti....!!

Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!

Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

http://4.bp.blogspot.com/-hmzi8zStn78/UCj6BUC_9nI/AAAAAAAAuQ4/tYzNfZxDq2w/s1600/DSC_0789.JPG

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
MKO. MJINI MIAKA KUMINATANO MMESHINDWA HATAKUWAJENGEA MAAZENU NYUMBA VIJIJINI MNATULETE PICHAZA NYUMBA ZA AMA ZA WATU WORD NOT FAIR KABISA... MWACHENI A ENJOY NA WAZAZIWAKE
 
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!

Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani
DSC_0646.JPG

Hii ni servant quarter

Parking ya magari

Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi

Kwa ndani

DSC_0648.JPG

kwa ndani

kwa nje

ukuta embu ona kwa karibu!!!

Nilipenda sana kichuguu eeh!!

huu ndio msikiti....!!

Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!

Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

http://4.bp.blogspot.com/-hmzi8zStn78/UCj6BUC_9nI/AAAAAAAAuQ4/tYzNfZxDq2w/s1600/DSC_0789.JPG

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!

Hilo ndilo hitaji la maendeleo ya watu wa kibaha?

Takataka tu!
 
Safi sana!!

Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
Hii post niliiona kitambo, sikuchangia chochote, nadhani Leo ndo wakati wake- TRA chukueni tin yake muone kiwango cha kodi anayolipa
 
mhhh anajisafisha jamani

kama sikosei nimeshamsikia sana humu kama mmoja wa wauzaji wa sembe

habari ilikua n kajenga msikiti na kituo cha watoto yatima ila yanini kutuonyesha hadi ukuta wa nyumba yake
 
Safi sana!!

Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
..........shule kabla ya Msikitini !? .....hata Yesu hakusoma lakini 'athari' yake ipo mpaka leo, ana Kitabu Kinaitwa Injil. Yaani huyo anae abudiwa Msikitini ndiye anae gawa elimu. Kwetu Iringa

QUR'AN: 96: 01-08.
'(Read) in the name of thy Lord and Cherisher, who created..
Created man out of a (mere) clot of congealed blood
(Read) And thy Lord is Most Bountiful
He who taught (the use of) the pen
Taught man that which he know not
Nay, but man doth transgress all bounds
In that he looked upon himself as sufficient
Verily, to thy Lord is the return (of all human being)
 
Safi sana!!

Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
We nenda kale kitimoto upate minyoo ya kichwa
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani​
DSC_0646.JPG
Hii ni servant quarter​
Parking ya magari​
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
Kwa ndani​
DSC_0648.JPG
kwa ndani​
kwa nje​
ukuta embu ona kwa karibu!!!​
Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
huu ndio msikiti....!!​
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
 
JF kuna manabii unabii uliotabiriwa mwaka2012
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
 
Back
Top Bottom