Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Africa ubinafsi ndo zetu angekuwa rangi nyeupe ungesingizia nini??! kajenga msikin kwa pesa yake nawe jenga kanisa kwa pesa yako tudaidiane sio maneno tu!!!! je? angekuwa kaescro ingefaidikaje wewe ??!!
 
Heri yake Mungu atamzidishia.

Wewe lazima umsifie si mnafanya biashara zenu za kuharibu nguvu kazi ya Taifa pamoja kuuza poda!!Na huko aliko atasema yote anayoyajua kuhusu hiyo biashara yenu kwani kule ndani hakuna mchezo
 
Daah, hii post iliwekwa mwaka 2012, leo alichoandika mkuu huyu katika post hii kimetokea kweli. Mbarikiwe wenye maono ya mbali, na wote mliokuwa mnamsifia mrudi kutueleza kama Mungu wa misikitini anaruhusu kuwaharibu wazazi then kuja kuwalea watoto wao kama yatima
Kapwila Matulu umesahau aliyotuambia Dr Slaah ya kuwa Maaskofu wote wamenunuliwa na LOWASSA !?
 
Kapwila Matulu umesahau aliyotuambia Dr Slaah ya kuwa Maaskofu wote wamenunuliwa na LOWASSA !?
toka lini mti wa pilipili ukazaa zabibu? hata nyoka ajamiiane namna gani na kuku, pamoja na kwamba wote wanataga mayai, katu nyoka hawezi kuzaa vifaranga vya kuku. mzeituni ni mzeituni tu kwa asili na mti pori ni mti pori tu kwa asili hata ulazimishe vipi matunda yake yatakuja kudhihirika siku moja.
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
Duhhhh ewaaaa haya yalisemwa subiri tuone
 
Back
Top Bottom