Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIM KARDASH, Aug 18, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

  [​IMG]
  Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
  [​IMG]
  Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

  [​IMG]
  Kwa ndani​
  [​IMG]
  [​IMG]
  Hii ni servant quarter ​
  [​IMG]
  Parking ya magari​
  [​IMG]
  Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
  Kwa ndani​
  [​IMG]
  [​IMG]
  kwa ndani​
  [​IMG]
  kwa nje​
  [​IMG]
  ukuta embu ona kwa karibu!!!​
  [​IMG]
  Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
  [​IMG]
  huu ndio msikiti....!!​
  [​IMG]
  Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
  [​IMG]
  Nyumba ya Imamu wa msikiti!!
  [​IMG]
  Daudi akiwahudumia wageni!!!


  [​IMG]
  Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

  [​IMG]
  Dad's Daughter

  [​IMG]
  Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
   
 2. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Allah amzidishie!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Hivi hamna jukwaa la promo...? mods wekeni hilo jukwaa bana..
   
 4. peri

  peri JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ALLAH amlipe heri, ni mfano wa kuigwa.
   
 5. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Safi sana!!

  Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

  Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti
   
 6. H

  Hute JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,057
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  good for him

  mwakani tuone shule pia!
   
 8. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  isiwe sababu ya kuja kuja kuomba kura tu
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I am inspired!

  Project kama hizi huwa zina simama kiasi gani?
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  .....Hater...simply...hater..
  kama huna uhakika usishutumu mtu, mpeni moyo sio kumvunja moyo ameanza na kituo cha kulea zidi kumuomba kesho na shule, thats the positive thinking.
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa MadameX tujifunze kukubali ukweli pale unapooneka.....mwanzo mzuri sana! aendelee akijaaliwa.. awawekee wanakijiji shule, maji na hosp
   
 12. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,110
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  Safiiiiii! Kama kafanya kwa nia njema Inshallah MwenyeziMungu amzidishie!
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wabongo hawana jema..
   
 14. I

  Ibnu Mussa Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakufagilia Daudi, ukipata uwezo jenga msikiti mwengine. Shule waachie serikali watajenga wenyewe.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Heri yake Mungu atamzidishia.
   
 16. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Sawa tumeona,na shule vp?hao watoto wanatakiwa kusoma,ajenge na shule!
   
 17. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  .......duh.....akishajenga shule kuna mwngine atauliza waalimu, mishahara, madawati, chakula. sare, mikopo..........
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hivi hujui kuwa Madrasa ni shule !? Wagala bana !
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Akili za kipagani bana ! Huo ufahamu wa kusomea unapewa na nani ? Je Yeye hastahiki kushukuriwa kwanza !?
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Hakukuwa na ulazima ku-quote picha zote hizo
   
Loading...