Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
Dau ni mtu muadilifu maadamu umemtahadharisha bila shaka atachukua hatua za haraka kuweka sawa pamoja na kuwa mambo ya mapenzi ni suala la mtu binafsi
MSc legal dept? I am lost.
Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
vipi kuhusu utendaji wa shirika hilo ukilinganisha na mengi mengine?Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda.