Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept?

Mimi namtetea mleta hoja na ndiyo maana namtetea .Dau ana ambiwa kupitia hapa na wakubwa wengine wajue uozo wa pale wakae kimya tu lakini ijulikane kwa uwazi .

Wakuu JF is where we dare to speak openly au umesahau ?
Oh nilisahau kuwa hii slogan ya "JF where we dare to speak openly" haina mipaka!
Na vipi kuhusu kufuatwa kwa taratibu za kazini? kwa sababu naona mtoa mada amezikengeuka!
 
haya ni mambo ya kitasisi.isije ikawa wivu wa kimapenzi mmezidiana mnaleta hapa kwa great thinker.ni vijimambo vya ofisini hivyo cha msingi ni kutafuta namna nyingine ya kuishi huyo dau unayemwandikia usikute ni wamoja c unajua vigogo wako karibu nao na usikute anajua a 2 z
 
Mbona mnamponda mleta hoja utadhani hamjui taratibu za kazi? Unafikiri ni mfanyakazi gani wa kuonana na boss kama Dau uso kwa uso na kumwambia legal dept kuna udini na mapenzi? Kama Dau anatembelea jukwaa hili mwenyewe basi atasoma lakini hata kama rafiki wa karibu amesoma basi atapata kumweleza kinachoendelea kwenye ofisi yake.
 
Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda.
 
Mbona mnamponda mleta hoja utadhani hamjui taratibu za kazi? Unafikiri ni mfanyakazi gani wa kuonana na boss kama Dau uso kwa uso na kumwambia legal dept kuna udini na mapenzi? Kama Dau anatembelea jukwaa hili mwenyewe basi atasoma lakini hata kama rafiki wa karibu amesoma basi atapata kumweleza kinachoendelea kwenye ofisi yake.

Mkuu naamini mleta hoja anampenda sana Dau na anataka kumjulisha afungue macho macho atizame maana anaweza kuwa anaharibiwa ofisi yeye akiwa hajui again nina kubaliana na mleta hoja hapa
 
Naamini mleta mada kachoshwa na tabia za watoto wa wakubwa na matendo yao ya kuwanyanyasa watoto wa wasio na sauti wala Godfathers nk.Mie namwelewa anataka ujumbe huu umfikie Dau ajue kwamba watoto wa wanasiasa wanajiona na wana haribu kazi .Ukisoma utaona kwamba kaja juzi na baada ya mahusiano sasa analazimisha kwenda na mtu na kaweka bayana kama haendi naye haendi hii ni cancer kubwa kwa Taifa letu si jambo la kubeza .Uchunguzi unatakiwa na hatua kuchukuliwa NSSF ni pesa zetu zile sasa kweli kutumika kihivyo ?

Mkuu umeshangaa kwamba ana LLM na yuko Legal Dept kuna ugeni gani kama kaja akiwa hajui kazi kapata ajira kwa jina la Mama yake baada ya kimemo si inabidi ajifunze kazi sasa ?Soma tena utaona kwamba hata mahakamani bado ni kanjanja mkuu .
Mkuu kuwa na LL.M (master of laws) ni qualification ya kuwa legal department baada ya kuwa na LLB. Hapo kinachostusha ni kuwa mleta uzi kasema huyo dada ana Msc not LL.M
 
Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda.

kisa mkurugenzi muislam angekuwa mgalatia mwenzenu mngekaa kimya kabisa?
 
Haya Baba Mzee Ustaadhi Dau la Mnyonge Funguka naona umepigiwa Direct kick Pass...

Mtoa Mada Mr Mugishagwe Ungeanzia kwanza kwa Mr Nssf atakufikishia ujumbe wako mtumie na ujumbe kabisa kabla mod hawajaufuta huu uzi
 
Come back to your sense .Hapa hakuna anayesema kanyimwa penzi .Hapana hakuna anayesema kanyimwa safari hapa ni issue ya dharau kwa wenzake ambao yeye kaja kaajiliwa kwa dini yake kawaacha ana wanyanyapaa muda wote pili kutoa masharti kwamba hawezi kwenda nje ya kituo cha kazi bila mpenzi wake Omar na watu kutii maneno yake kisa ana mahusiano na Kilango .Hii ndiyo issue nadhani the rest si mantiki jadili haya acha yale mengine

acha wivu na kijicho mkuu, hakuna njia nyingine ya kumfikia dau hata kwa simu au email mpaka ulete huku?
Hayo madai ya kuajiriwa kwasababu ya dini yake unaweza kuyathibitisha?

Kama umetoswa tafuta mwingine, acha umbea.
 
Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
Ww jamaa ktk kila uzi ww unapenda kuzungumzia udini sana sijui unafurahia nn, ninashaka na ubinadamu wako inaonesha Damu yako ina mchanganyiko na Damu ya Shetani ww, IBILISI WW.
 
acha wivu na kijicho mkuu, hakuna njia nyingine ya kumfikia dau hata kwa simu au email mpaka ulete huku?
Hayo madai ya kuajiriwa kwasababu ya dini yake unaweza kuyathibitisha?

Kama umetoswa tafuta mwingine, acha umbea.

Kaka are you emotional driven au vipi mie nimechangia tu sasa udini na kutoswa kuko wapi ? Unaambiwa mambo yako wazi na vitendo vipo binti haendi mkoani pekee lazima apewe kijana tena unataka ushahidi upi na mambo yanatendeka ?
 
narudia tena humu JF watoto wa class 5 wameingia!! si mnaona? hata mambo ambayo ni purely ya kimbeya yanaletwa huku.hii thread haistahili kuwekwa hapa.
 
Usiofu ndugu yangu....soon kilago machela anatoka kabisa katika dulu za siasa. This is the beginning of the end of KILAGO MACHELA. Alipo pingana na mamvi basi alikua amejitangazia kuanguka kisia ndani ya miaka kumi baada ya pale. So huyo mtoto asikupe tabu maana atakua anasikia aibu ata kusema anaitwa nani.
 
Huo kweli mtihani mapenzi na kazi, kasema kweli Shaabn Robert,

Kila aswi wa kanun,i ni mjinga wa kulala
wa kulala duniani,mahala penye madhila
penye hasara na dhani, na mauti ya ghaafula
jibu limefutu swali, mja kutii kanuni
 
Kama kuna kitu kinafukuta ni uislamu ndani ya NSSF.ni bomu linalotokota chini kwa chini...baada ya muda litakuja kulipuka na kuwaacha uchi utawala mzima wa NSSF;Ni madrasa nadhani ile;Kazi pale kufuja pesa za wanachama
 
Mkuu, haya mamabo kwa ajira za kibongo mbona ndo mwake? Nenda kampuni binafsi utachoka, nenda kwa wahindi, mamaaaaa, ni balaaa, ila kwa mashirika ya umma hali huwa ,mbaya kwa kuwa mtu akishajua ana Godfather basi ni balaa: cha muhimu subiri kikao cha wafanyakazi ili uwachane live, usiogope kama kweli kina kukera!
 
huyo wanaedai mtoto wa anna nae ni muislamu? Na yetu kweli kama ilivyo udom, pasuka sasa maana naona povu limekujaa
kaka hawa wenzetu kila kitu wanataka waongoze wao,sasa tukianza kutafuta shirika fulan wanaongoza wagalatia au waislam mbona uwiano hakuna kuna vitu vingine tunatakiwa kuvumiliana tu wasilete udin ktk vitu havihitaji udin vinahitaji utendaj uliotukuka,tusifikie huko mnatupeleka kubaya big up kaka akileta maneno tutamtajia sehemu nyingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom