Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept?

Dau ni mtu muadilifu maadamu umemtahadharisha bila shaka atachukua hatua za haraka kuweka sawa pamoja na kuwa mambo ya mapenzi ni suala la mtu binafsi
 
Huyo ndo dizaini ile wanaenda abroad kusoma halafu wanatumiwa pesa za matumizi, so pathetic
 
  1. JF ni jukwaa la wanyonge ambapo watu wanathubutu kunena kwa uwazi. Unadhani hii habari inawezatolewa magazetini?
  2. JF ni mtambo wa kurekebisha tabia
    JF ni tanuru wacheni liwaoke wenye tabia za hivyo
 
So it's possible Anna Kilango's behaviour is like her daughter.... running after men, too vocal & kujiona yupo juuu kama ANAFANYA KAZI KWA MUNGU....

I hope Dau will ACT ...
 
Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda.
vipi kuhusu utendaji wa shirika hilo ukilinganisha na mengi mengine?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom