Oh nilisahau kuwa hii slogan ya "JF where we dare to speak openly" haina mipaka!Mimi namtetea mleta hoja na ndiyo maana namtetea .Dau ana ambiwa kupitia hapa na wakubwa wengine wajue uozo wa pale wakae kimya tu lakini ijulikane kwa uwazi .
Wakuu JF is where we dare to speak openly au umesahau ?
Haha haha, nimechekaje?MSc legal dept? I am lost.
Mbona mnamponda mleta hoja utadhani hamjui taratibu za kazi? Unafikiri ni mfanyakazi gani wa kuonana na boss kama Dau uso kwa uso na kumwambia legal dept kuna udini na mapenzi? Kama Dau anatembelea jukwaa hili mwenyewe basi atasoma lakini hata kama rafiki wa karibu amesoma basi atapata kumweleza kinachoendelea kwenye ofisi yake.
Mkuu kuwa na LL.M (master of laws) ni qualification ya kuwa legal department baada ya kuwa na LLB. Hapo kinachostusha ni kuwa mleta uzi kasema huyo dada ana Msc not LL.MNaamini mleta mada kachoshwa na tabia za watoto wa wakubwa na matendo yao ya kuwanyanyasa watoto wa wasio na sauti wala Godfathers nk.Mie namwelewa anataka ujumbe huu umfikie Dau ajue kwamba watoto wa wanasiasa wanajiona na wana haribu kazi .Ukisoma utaona kwamba kaja juzi na baada ya mahusiano sasa analazimisha kwenda na mtu na kaweka bayana kama haendi naye haendi hii ni cancer kubwa kwa Taifa letu si jambo la kubeza .Uchunguzi unatakiwa na hatua kuchukuliwa NSSF ni pesa zetu zile sasa kweli kutumika kihivyo ?
Mkuu umeshangaa kwamba ana LLM na yuko Legal Dept kuna ugeni gani kama kaja akiwa hajui kazi kapata ajira kwa jina la Mama yake baada ya kimemo si inabidi ajifunze kazi sasa ?Soma tena utaona kwamba hata mahakamani bado ni kanjanja mkuu .
MSc legal dept? I am lost.
Sijawahi kusoma habari ya NSSF hapa JF zaidi ya hizi za udini na kubebana. Tukubali tukatae kuna tatizo kubwa sana NSSF na lisiposhughulikiwa mapema tusijekujikuta tumefika pale tulipofikishwa na sheikh ponda.
Come back to your sense .Hapa hakuna anayesema kanyimwa penzi .Hapana hakuna anayesema kanyimwa safari hapa ni issue ya dharau kwa wenzake ambao yeye kaja kaajiliwa kwa dini yake kawaacha ana wanyanyapaa muda wote pili kutoa masharti kwamba hawezi kwenda nje ya kituo cha kazi bila mpenzi wake Omar na watu kutii maneno yake kisa ana mahusiano na Kilango .Hii ndiyo issue nadhani the rest si mantiki jadili haya acha yale mengine
Ww jamaa ktk kila uzi ww unapenda kuzungumzia udini sana sijui unafurahia nn, ninashaka na ubinadamu wako inaonesha Damu yako ina mchanganyiko na Damu ya Shetani ww, IBILISI WW.Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
acha wivu na kijicho mkuu, hakuna njia nyingine ya kumfikia dau hata kwa simu au email mpaka ulete huku?
Hayo madai ya kuajiriwa kwasababu ya dini yake unaweza kuyathibitisha?
Kama umetoswa tafuta mwingine, acha umbea.
Hahaha hasira za kukosa safari(per diem ) zinauma sana....jipange upya
Nahivi rates zimeongezwa mhhhh....
kaka hawa wenzetu kila kitu wanataka waongoze wao,sasa tukianza kutafuta shirika fulan wanaongoza wagalatia au waislam mbona uwiano hakuna kuna vitu vingine tunatakiwa kuvumiliana tu wasilete udin ktk vitu havihitaji udin vinahitaji utendaj uliotukuka,tusifikie huko mnatupeleka kubaya big up kaka akileta maneno tutamtajia sehemu nyinginehuyo wanaedai mtoto wa anna nae ni muislamu? Na yetu kweli kama ilivyo udom, pasuka sasa maana naona povu limekujaa