Dates za siku hizi

Dates za siku hizi

I love Chikunde
Hahahahahaa Chikundee heheheheheee
Mmmmhhhhh Chikundeeee hahahahahaa

You love Chikundeeee while you complain about Chikundeeee
Chikundee bothers you... hehehehhee Chikundeeee hahahahahahahhaaaaaaaa

Kasieeee rahaaaaaaaa rahaaaaa

Rahaaaaaaaaaaa

Weeeh Chikundeeee u r loved Chikundee hehehehehee
 
Hahahahahaa Chikundee heheheheheee
Mmmmhhhhh Chikundeeee hahahahahaa

You love Chikundeeee while you complain about Chikundeeee
Chikundee bothers you... hehehehhee Chikundeeee hahahahahahahhaaaaaaaa

Kasieeee rahaaaaaaaa rahaaaaa

Rahaaaaaaaaaaa

Weeeh Chikundeeee u r loved Chikundee hehehehehee

Chikunde and Kasinde love me something fierce...
 
Chikunde and Kasinde love me something fierce...
Your mind is not fair to you........ it lies to you about Kasie for sure it lies and you better punish your mind......but for Chikundee Mmmmhhh Chikundee heheheheheheee may be her Chikundeeee hehehehehe something fierce here. ..... Chikundeeee hahahahahahahahaaaaaaaaa ukimaliza kujiselfie umtumie ..... umesikia Chikundeeee hahahahahhahaaa

Kasie
 
Zingine sio smart phone ni full sms mtu anaandika sms bila hata kutazama simu duh...... Hata majumbani kwetu wanajulikana ukitaka kuuliza kitu cha fasta ama unahitaji namba ya fulani wewe tuma sms kwa flani fasta anajibu mpaka tuvidole tumekomaa
Inaudhi saa zote... Busy na smart phone...
 
Kinachoboa zaidi ni mtu kucheka na simu yake
kwa sauti huku wewe hujui kinachomchekesha

yaani hizi dates za siku hizi shida tupu...

unaweza hata kumuacha mtu asijue umeondoka
yuko busy na simu yake
 
  • Thanks
Reactions: kui
Niliomba date na mmoja wa humu jf sitokaa nisahau hiyo siku, nilitamani ningekuwa moderator nimpige ban ya kudumu, ndio maana mischana sikuizi inaishia kuchezewa tu maana maadili ni "zero"...tena ndo ukutane na mimi msukuma then uniletee vinyodo mshindo yaani hata kama nakupenda vipi hutoniona tena.
 
Hili limekuwa swala sugu sana, labda ndo tunachipukia kwenye matumizi ya simu.

Siku hizi unaweza kukuta mmetoka na washkaji kwenda kubadili mawazo huku mnapata drinks, sasa katika hali ya kushangza unakuta kila mtu yuko bize na simu na story zinakata kabisa.

Mimi kiukweli huwa sikai nalo rohoni nawaeleza tu au naaga zangu.
Huwa najitahidi sana niikimbie hii hali,
Yaani hata mi sipendii kabisaa unaongea na mtu kila unalomuuliza anakujibu tu "eheee... eheee...yah ndio ..ehee ni kweli"

macho na akili vyote viko kwenye kioo cha simu. Asee endelea kuwachana kila uonapo tabiaa hii.... ina kera saana. Mimi binafsi nimeacha kabisa kama nna maongezi na mtu siwezi kushika simu mkononi najua ni ushawishi, Sasa hivi ninafanya kuwanyoosha tu waliobaki na huu ujinga sio wa kike sio wakiume.
 
Zingine sio smart phone ni full sms mtu anaandika sms bila hata kutazama simu duh...... Hata majumbani kwetu wanajulikana ukitaka kuuliza kitu cha fasta ama unahitaji namba ya fulani wewe tuma sms kwa flani fasta anajibu mpaka tuvidole tumekomaa
Upo wewe bibie!!?
Tabutupu anakusalimia sana.....
 
Jumapili njema raia.

Sasa bana, neno la leo ni kuhusu miadi ya makutano ya watu wawili walio na raghba ya kuja kuweza kuwa wenza hapo baadaye.

Mkaka na mdada wanawasiliana kwenye simu. Wanapanga muda na sehemu ya kukutana ili waweze kujuana vizuri.

Siku ya siku inafika na kila mmoja wao anajiandaa vile awezavyo. Mara nyingine hao wawili huongozana na rafiki zao huko kwenye miadi. Nadhani wadada ndo hupenda zaidi kufanya hivyo, jambo ambalo mimi huliona ni la kishenzi.

Mimi na wewe ndo tumepanga tukutane. Wewe unaleta gurudumu la tatu la nini? Ni ushenzi tu.

Hata hivyo, hiyo si hoja yangu kwa leo. Nilikuwa nachomekea tu kama Anko Magu.

Basi bana...mnafika sehemu ya mkutano wenu...mnasalimiana. Kama ni vinywaji mnaagiza halafu mnaendelea na yenu.

Cha kustaajabisha sasa....unakuta kila mtu ana simu....iwe ki Tecno (sijui ndo inaandikwa hivyo), Samsung kuukuu, au ki iPhone cha ajabu ajabu ambacho pengineo ni cha bandia.

Baada ya maongezi kidogo unastukia kila mtu kajiinamia na kibyongo chake. Kila mtu kama si anachati kwenye magrupu ya Whatsapp basi yuko sijui Instagram huko au Snapchat.

Unakuta mtu yuko kwenye rundo la magrupu. Hapo alipo kwenye kideti chake lakini huko kwenye magrupu anatongozana na wengine.

Au unakuta mwingine yupo kwenye hicho kideti lakini yupo kwenye magrupu huko anagombana na wenzake.

Ambacho sikielewi sasa...kwa nini watu muende kwenye miadi yenu halafu badala ya kuongea na kujuana vizuri mnaishia kuchati kwenye magrupu ya Whatsapp?
Sisi Watu Weusi ni Washamba na Waigaji waigaji tu. Tunatumia teknolojia za watu vibaya kwa kujifanya wajuaji mpaka tunapoteza heshima ya miadi na mazungumzo kusudiwa.

Hiyo tabia wanayo zaidi wadada,na hasa wale waliofanikiwa kuhudhuria vyuoni ila hawajaelimika na kustaarabika.
 
Aah sasa mbona siku zote hizo hujasema? Nikuumize na nini tena?
Jamani...mambo haya kweli yanahitaji macho ya rohoni, eti hapa tu kuchelewa kureply nimeumia sa sipatii picha siku ya tukio nikusemeshe...kimya..mala.."ooh sorry my dear ulikuwa unasemaje kweli..nlikuwa najibu text ya chizi flani"....hahaha...utafurahi.
 
siku tukiweza kuliondoa hili tutakuwa katika usalama na hata dates zetu zitakuwa za kufurahisha na kutia hamu. mimi kuna siku nilimuacha mtu pale HONGERA BAR SINZA KWA UPUUZI HUO
 
siku tukiweza kuliondoa hili tutakuwa katika usalama na hata dates zetu zitakuwa za kufurahisha na kutia hamu. mimi kuna siku nilimuacha mtu pale HONGERA BAR SINZA KWA UPUUZI HUO

Nani huyo? Valentina?
 
Back
Top Bottom