Dates za siku hizi

Dates za siku hizi

Ha ha ha Sie kikao cha familia Mdingi akiwaita anawaambia mkiingiia sitting room zima simu...................
 
Heheheheheee

English-Swahili translation....... Tarehe za Siku Hizi

English - English - translation........ Outings now days

English - Swanglish translation ........ mitoko ya siku hizi.
From Kasie's dic.

Poyeeeee toto juliiiii hehehehehee 🙂🙂🙂

Back to the pool
Kasie.

Fak yu
 
Simu ni tatizo sio kwa dates tu hata ndani ya familia mtu anarudi hamjaonana siku nzima salaam ...kuoga ...chakula ...simu mkononi..kuna familia niliwahi shirikishwa hadi kitandani tena mwanaume ndiye alikua anachat hadi usiku wa manane...mama naye akaanza kutumia yake hadi usiku wa manane..ndani ya shuka hapo sasa ikawa shida kubwa ukweli ni jambo linatakiwa kushughulikiwa na ikibidi kila mtu ajitathmini....wapo watoto wanatembelea wazazi wao kila mtu akifika ...laptop iphone simu kila mtu anatafuta kona yake ...kimya mzazi hapati msaada awapikie awahudumie hadi watakapoitwa kwa chakula ndio kila mtu anainuka...unafikiria hivi mzazi anapotembelewa ategemee nini ?simu zimetawala watu kwakweli.
 
tokea simu zangu mbili zivunjwe kidogo nimepunguza, sasa kama unaboaaaa na mie sio mlevi nini kitanipotezea muda? bora ningekuwa mlevi nikutie hasara tu nijue moja, basi nashika simu tu nijifariji.
 
Kuna mdada nlikuwa na ahadi nae tumeenda sehem aliyopendekeza nakuta kuna shoga yake kumbe alikuwa kafika tayari...vidada hivi vya kimjini vina mambo sana
Mnawapata wapi hao na nyie?
 
Mm ukija na shoga yako ndio nafurahia cz ntakuumiza roho ntakuwa nipo busy na rafiki

We hujawahi kufanya hivyo?!
Mimi sijawahi kwakweli sipendi ushoga kwenye mambo ya mahusiano

Hehe ikitokea hio upo busy na rafiki angu si namtoa tu simple sipendi ujinga,kwanza rafiki mwenyewe atajishtukia atakuavoid mwenyewe....
 
Mpaka kanisani mtu kila dakika katoa simu hizi simu smart fone zinapoteza muda sana,
 
Mimi sijawahi kwakweli sipendi ushoga kwenye mambo ya mahusiano

Hehe ikitokea hio upo busy na rafiki angu si namtoa tu simple sipendi ujinga,kwanza rafiki mwenyewe atajishtukia atakuavoid mwenyewe....
Serious talkn ukija na rafik yako ujue nitamkaza tu kwa sababu umeyataka mwnyw...

Kama ningekuwa sina hela ya kuhudumia watu wawili si napata aibu
 
Serious talkn ukija na rafik yako ujue nitamkaza tu kwa sababu umeyataka mwnyw...

Kama ningekuwa sina hela ya kuhudumia watu wawili si napata aibu
Kwahio uliwatafuna wote wawili hio siku?
 
Aisee Mimi huwa nanyang'anya simu nasema mbali ambapo ataona aibu kuifuata
 
Hahahahaaaa ulikuwa na na Chikundee mmmhh Chikundee hahahahahaa Chikundee anachekesha hehehehehee Mmmh Chikundee
Ukajiselfie na kumtumia picha Chikundee heheheheee ukaachwa kwenye mataa kwasababu ya Chikundee hehehehehee

Poyeeeee tootoooo Poyeeeee

Msalimie Chikundeeee hahahahahahahahaaaaaaaaa

Acha nicheke Kasie mie maana mbavu nnazo looh

😀😀😀....... Chikundeeee hahahahahahahhaaaaaaaa

I love Chikunde
 
Back
Top Bottom