Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Hili wazo limenijia leo na nadhani lingekuwa challenge nzuri kwa wanaharakati.
Mnaonaje kama tukianzisha database ya wabunge, kwa kusudi la ku-keep track na michango yao na kura zao bungeni. Hii database itasaidia kujua msimamo wa mbunge juu ya ishu fulani na jinsi walivyopiga kura katika hiyo ishu!
Kwa mfano, ikitoka hoja ya kumchagua spika...kujua ni wabunge gani walimchagua X na kwa nini. Halafu tunawapa ripoti wananchi...kwa kusudi la kufanya maamuzi bora kwenye uchaguzi ujao. Hii itasaidia kufanya bunge liwe wazi na ufanisi zaidi!