Database ya Wabunge - A challenge to Wanaharakati! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Database ya Wabunge - A challenge to Wanaharakati!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chapakazi, Nov 10, 2010.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili wazo limenijia leo na nadhani lingekuwa challenge nzuri kwa wanaharakati.

  Mnaonaje kama tukianzisha database ya wabunge, kwa kusudi la ku-keep track na michango yao na kura zao bungeni. Hii database itasaidia kujua msimamo wa mbunge juu ya ishu fulani na jinsi walivyopiga kura katika hiyo ishu!

  Kwa mfano, ikitoka hoja ya kumchagua spika...kujua ni wabunge gani walimchagua X na kwa nini. Halafu tunawapa ripoti wananchi...kwa kusudi la kufanya maamuzi bora kwenye uchaguzi ujao. Hii itasaidia kufanya bunge liwe wazi na ufanisi zaidi!
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hili ni wazo zuri sana.

  Data Base itatusaidia kufuatilia kila kitu KUHUSU MBUNGE MMOJA MMOJA kwa ukaribu na undani zaidi.
  Data Base hata isipo orodhesha kila kitu alicho fanya Mbunge huyo in Detail ni vema iwe na Leads za kumpeleka mtu kusoma zaidi kuhusu jambo hilo Mahali fulani.

  On top of that ingekuwa Vema kuwa na DATA BASE YA MAJIMBO YOTE YA KUPIGA KURA NA VITUO VYA KUPIGIA KURA ili 2015 data base hiyo iwe Tayari kabisa kuwekwa namba kwa jinsi uchaguzi unavyendelea.
  Hii itasaidia pia kujua weakness ambazo NEC wanatake Advantage na kutuliza nazo na pengine hata kuweza kutoa ushauri wa kisayansi baada ya kuifanyia analysis Database yetu.

  Kwa wale wataalamu wa DATAbase mna ushauri gani kuhusu wazo hili??


  Edward Lowassa- MBUNGE Monduli

  SHULE
  UDSM- SHAHADA YA TAMTHILIA
  Kazi
  AICC

  Waziri Mkuu

  TUHUMA/KASHFA

  11 BOYS LIST OF SHAME
  RICHMONDULI SAGA.
   
 3. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  nimeachwa hoi kwenye shahada hapo...ya kweli hao?
   
 4. afroPianist

  afroPianist Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It's a superb idea. I'm a computer scientist and part of my job is to develop and maintain database management systems.

  This can be implemented using LAMP(Linux, Apache, MySQL, PHP) Technology from the technical point of view.

  From the user point of view, having developed a database that can accommodate basic MP info (name, constituency, picture, education, whole profile), registered users may fill an automated form every time they need to update a particular MP's table.

  You can include the date, the motion at hand, his/her contribution, the outcome of the motion/bill, links to media sources that wrote on the particular issue etc.

  There's room to improve the idea put that's one of the scenarios.
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Siku tukiwa na waandishi wa habari makini, hiyo ndiyo kazi yao...
   
 6. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni wazo zuri sana, Maana hata Chenge alifikiri watu wamesahau Uovu wake akanza kunyosha vidole kwa Sita. Tukiwa na data base mtu akichemka au akituhumiwa kwa uongo ni rahisi ku-retrieve na kupata Ukweli. Shida ni hapo kwenye blue, kura ni siri, tutajuaje nani kampigia nani?
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kura ni siri bungeni? Basi tunaweza kumuuliza badae kujua hili...au kutoa muelekeo wako nako hakuruhusiwi?
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hii safi...kwa hiyo its possible! itabidi tuzidi kuwasiliana!
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na wananchi wanatakiwa kuwa na contact na mbunge wao! Ivi sio lazima kwa kila mbunge kuwa na ofisi jimboni kwake?
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Kweli tupu ulidhani anazushiwa?:smile:
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Tuanze sasa kwa hao makini wameshachakachuliwa !
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Madela wa Madilu upo?
   
Loading...