angalia uandishi wa mabandiko yake anayoyaweka humu especially yale yanayohusu habari za airport. Hauhitaji nguvu ya ziada kupima level aliyosoma
nyie vijana badala ya kufuata kilichowapeleka mnatajifanya wajuaji haya gomeni tena tuone watakuofukuzwa chadema watawapeleka india
Hivi vyuo vikuu Tz kunani? Na je, tume iliyoundwa na rais wa Tz kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya vyuo vikuu haikutoa ufumbuzi wa kweli? Ushauri wangu:tatizo la udsm titafutiwe ufumbuzi wa haraka na usiwe ufumbuzi utakaowaathiri wanafunzi.kikao cha tarehe 7 jana kimefikia maamuz mazito MGOMO J3 kutetea wenzao baada ya njia ya maongezi kushndwa
Ndo tatizo la kumpa ngwini aongoze chuo bora Prof Eng. Member IEEE mathew Luhanga kaongoza chuo vizuri sana alivyokuja huyu kilaza wa kashozi mambo yote yamaharibika chuo sasa kinaendeshwa kisiasa
Ndo tatizo la kumpa ngwini aongoze chuo bora Prof Eng. Member IEEE mathew Luhanga kaongoza chuo vizuri sana alivyokuja huyu kilaza wa kashozi mambo yote yamaharibika chuo sasa kinaendeshwa kisiasa
Nyie vijana badala ya kufuata kilichowapeleka mnatajifanya wajuaji haya gomeni tena tuone watakuofukuzwa Chadema watawapeleka India
Tatizo lililopo sio kukataa kugoma tatizo wengi waliopo saasaaa awana mshikamano pale mlimani najua wataongeasana humu lakini ukweli utabaki wamejaa watoto wadogo wajinga awajui hata wanaenda kugomea nini siku wakianza kupigwa mstari wanaanza kutajana alituongoza huyu yuleeeeeeeeeeee
serikali itawapunguza kweli mwaka huu na wameapa awataki ujinga......
Hivi vyuo vikuu Tz kunani? Na je, tume iliyoundwa na rais wa Tz kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya vyuo vikuu haikutoa ufumbuzi wa kweli? Ushauri wangu:tatizo la udsm titafutiwe ufumbuzi wa haraka na usiwe ufumbuzi utakaowaathiri wanafunzi.
Hiki chuo bana...yaani kila mara ni goma goma tu.