Dark days 17/03/20...

Nimekaa nimeusoma huu uzi baada kusikiliza interview ya Mo Dewji nimekuja kugundua kuna umuhimu wa kuwa na team imara katika kuiongoza nchi. Uongozi wa Borntown ukikuwa na kasoro zake lakini ulikuwa na team imara. Ukiangalia Late CEO na New CEO hawana team. Unaona kabisa maafisa wa serikali wanakinzana na kila mtu anatoa maagizo. Hichi kitu kinaharibu nchi na kinatengeneza mapengo makubwa sana ya kuruhusu mambo kufanyika bila uongozi kujua. Mara mia Borntown na Mamvi wangemaliza tofauti zao na kumruhusu Mamvi agombee 2015. Ukisoma magazeti na ukiangalia taarifa ya habari unaona kabisa viongozi hawafanyi kazi pamoja. Inabidi CCM ikae chini na iunde team ya watu makini bila kuangalia ushabiki. Iundwe team ya watu wenye uwezo, inashangaza sana kuona viongozi wanateuliwa kichawa. Ukiangalia CV za wateule wetu unaweza ukashindwa kumshauri mwanao asome au akazane na mbio za mwenge. Pengine akikomaa na mbio za mwenge anaweza akapata hata ukuu wa wilaya.
 
Naombeni kujua nani alimuua Bob Marley
Labda unamanisha Lucky Dube, ndiye aliuawa kwa kupigwa risasi na Mhlanga (alikuwa na wenzake wengine watatu) ambapo alifyatua risasi mbili, moja ilimpata Dube kifuani na nyingine kwenye bega.

Bob Marley:
  • Kifo cha Bob Marley kilisababishwa na saratani
  • Ingawa kuna nadharia za njama juu ya kifo chake, hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba aliuawa.
 
Inaweza kuwa , maana mama mambo ya computer anajua sana kutokana na majukum yake ya kazi ya kipindi cha nyuma,

Alafu hivi mama SSH kipindi cha Mzee Nyerere Tiyari alikua katika utumishi wa umma,?

Nauliza hivi kwa sababu ipo clip moja hivi kwenye wimbo wa dr Remmy Ongara ,katika ile nyimbo ASILI YA MZIKI WAPI,

Waweza nenda you tube na play iyo nyimbo mpaka mwisho ,kipabde flani hivi in black and white yupo mama na ushungi wake anacheza taratibu namfananisha naye ,

Chungulieni huo wimbo alafu wakongwe twambieni ndo ndie
Na huyu yoga ndie alikuwa Kigogo wa kule Facebook...baada ya kuwa namba 1 Kigogo akapotea🤣🤣🤣​
 
Back
Top Bottom