Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 585
- 1,929
Mkuu hizi ni hadithi tuu, wala hakuna mtu anajua ukweli, ila usitaje majina ya watuHakuna kitu kama hicho, hayo mambo ya kujiongezea muda yalipigiwa chapuo na watu waliokuwa na agenda ya kumchafua ili aonekane alikuwa na tamaa ya madaraka lakini naamini asingeongeza hata sekunde moja ya utawala.
Nakuhusu third CEO waliomuondoa ni walewale ili kupunguza nguvu za kufuatilia nini kimetokea iwapo wangemuua na kumuacha mzee wa kusini. Kila aliyeonekana atakuwa kikwazo baadaye walihakikisha anaondoka hasa wenye madhara.
Mwamba mambo mengi sana alipandikiziwa ili aonekane hafai, ndiyo maana hata sasa udhaifu wa new CEO unafichwa kwa kumchafua JPM.
Ila tukiondoa madhaifu machache ya kibinadamu Magu alikuwa analipenda sana taifa lake, ila kwa kuwa watu wapo kazini kumchafua atachafuliwa sana mitandaoni lakini ukiutaka ukweli anasemwaje ingia uraiani ndiyo utajua nguvu ya mwamba.