Dark days 17/03/20...

Mkuu
Imani hizi zinavunja Moyo Sana na unaweza poteza misimamo KABISA
Hebu ona hili la utatu mtakatifu ambao haya walokole wanaaamini na hata kuwabatiza watu KWA jina la Baba,mama na roho mtakatifu!!
Hilo ni jambo la siku nyingi na tumelikuta Sasa leo ukijua Hivyo utaendelea kuabudu kanisa lile lile lenye imani za masonic za utatu!!!?
Na je ukakimbilia KWA Hao wanaopinga utatu kama adventists utakuwa na uhakika gani kuwa hapa ni salama!!?
Yaani utapaona ni salama kama ulivoona kanisa la awali lilivyokuwa salama kwako!!
Halafu ukae KWA miaka Mingi uje ugundue Napo Sio sijui utakuwa mnyama wa aina gani unaehama kichaka!!!

NAMKUMBUKA SANA RAFIKI YANGU SANA MU ADVENTISTS WAKATI NIKIWA HIGH SCHOOL ALINIAMBIA HIO ISHU YA UTATU NILIMPINGA SANA NIKIWA NA AMINI SANA WAPENTEKOSTE NA DESTURI ZAO ZILE!!!
JAPO NILIKUJA GUNDUA JAMBO FULANI AMBALO HADI LEO NIMEKUWA MAKINI KWA WATUMISHI WENGI WAJIITAO WA KRISTO!!
SASA TUMEJIKUTA TUNA IMANI LAKINI HATUWAAMINI WANAOTUFUNDISHA KUHUSU MAMBO HAYO YA IMANI TULIOZALIWA TUKAYAKUTA!!!
Uligundua wana mix na uchawi nn?
 
Dunia itapigwa mapigo ya kutisha, bahari na mto Nile vitakauka, jambo litakalopelekea taabu, maji yatapatikana CHANZO Cha mto NILE pekee ambapo ni Tanganyika.
Isaya 19:5-7. Ni hivi:

Baada ya Gharika, Nuhu alizaa watoto watatu.

1.Hamu 2. Yafeth 3. Shemu.
Dunia yote imejazwa mataifa Kutoka hao watatu.

.HAMU kamzaa :
1.Kushi 2. MISRI 3. Put 4. Canaan.

YAFETH kamzaa:
1.Gomeri 2. Magogu 3.Madai 4. Yaani 5. Javani nk.

Shemu akamzaa:
1.Elamu 2. Ashuru 3. Alfaksad 4. Ludi 5. Aramu

MATAIFA YOTE YATAABUBU PAMOJA. Isaya 19:23,24.

Katika siku hiyo itakuwako njia KUU itokayo MISRI na kufika hata ASHURU,

Mwashuri atafika MISRI na MISRI atafika Ashuru. Na wamisri wataabudu pamoja na waashuri.

19:24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa TATU pamoja na MISRI na Ashuru.

Watakuwa baraka kati ya Dunia.

MADHABAHU MISRI: (Isaya 19:19.).

Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika Nchi ya MISRI Kwa BWANA.

TAFSIRI YA MISRI KIUNABII.

1. MISRI ni mtoto wa HAMU mwana wa NUHU.
2. MISRI ni Nchi iliyopo Africa, usisahau Wana wa HAMU kushi na Canaan, Puti na MISRI ni mataifa ya AFRICA.

3. MISRI ya KIROHO. Tanganyika au NYIKANI. Ufunuo 11:8.

Mji Ule mkuu, uitwao Kwa jinsi ya ''Roho'' Sodoma, na MISRI.
Ikumbukwe kuwa mji wa Sodoma na gomora na Gaza alitawala mtoto wa HAMU aitwaye Canaan alielaaniwa na babaye. MWANZO 10:1-32.

TANGANYIKA au NYIKANI kama sehemu salama ya kukimbilia: (Ufunuo 12:6,14).

JoKA akisubiri MWANAMKE azae Ili ammeze mtoto., MWANAMKE akazaa, mtoto akatwaliwa MBINGUNI.

JoKA akakasirika, yule MWANAMKE akakimbilia NYIKANI ambapo ana Mahali palipotengenezwa na Mungu Ili wamlishe huko muda wa siku Elfu mia mbili na sitini.

MTOTO=YESU,YESHUA,ISSA alienyakuliwa Mbinguni.

MWANAMKE=KANISA,KUSANYIKO la waaminio MUNGU mmoja.

Mahali SALAMA panapoandaliwa kumtunza MWANAMKE au kanisa, wamwabuduo Mungu mmoja ktk siku hizi za mwisho ni TANGANYIKA.

Ufunuo 12:15. NYOKA akatoa maji mithili ya mto ammeze,Nchi ikamsaidia MWANAMKE, ikayameza maji, MTO NILE ukakauka.

Tanganyika akimbiliapo MWANAMKE maji hayatakauka ambapo ndio chanzo Cha mto NILE.

MATAIFA YOTE wamwabuduo Mungu mmoja na Kumkiri YESU kuwa ni Masihi watakuja huku ambapo Mungu amepaandaa special walindwe dhidi ya JoKA. Na huku pekee ndo patakuwa na MAJI.

ABT, KITI CHA U-CEO wa kampuni yetu kutokalika:
Fuatilia Unabii juu ya KAMPUNI yetu, ingia You tube,, manabii wengi wameonyeshwa juu ya Hilo.

Pia imagine Mungu aiandae Nchi yetu kupokea jambo kubwa kiasi hicho amini lazima KUTIKISIKE na KUCHIMBIKE.

Asomaye na afahamu. Amen
We jamaa unataja ukweli unachanganya na uongo ili.uamanimie kuwa umesema ukweli.
 
wenye akili tunasoma kimya kimya huu uzi nyie mapoyoyo mnajitia mnajua sana.

code zote za humu ziko uchi ila mnajifanya kuziweka wazi.

any ways ok ila born town kitakachompata hatakaa aamini.
 
Huko mkuu hakufikiki.....

Watu wa huko ni wazee na wengine wastaafu... (vijana wachache) kuna mmoja alikuwa kwenye mission za UN for 30 years.. (just imagine)..
Hawa watu wanajua siri za kampuni mbalimbali huko nje...

Wachache wako kazini mfano humu katajwa mmoja tuu... Mr Unknown...

Kama unakumbuka alijifanya anaumwa akaondoka kwenda nje kwa matibabu.. (kabla ya dark days) Kumbe yupo kazini kwa namna nyingine...

Hao watu wa gizani hata humu ndani wapo... ila kuna vigezo vizito sana kuingia huko... hao watu wana hela sio kawaida... pia wana IQ kubwa sana
Hakuna cha watu wa gizani.

Ni mashetani hao wanaojifanya watu.
 
Dunia itapigwa mapigo ya kutisha, bahari na mto Nile vitakauka, jambo litakalopelekea taabu, maji yatapatikana CHANZO Cha mto NILE pekee ambapo ni Tanganyika.
Isaya 19:5-7. Ni hivi:

Baada ya Gharika, Nuhu alizaa watoto watatu.

1.Hamu 2. Yafeth 3. Shemu.
Dunia yote imejazwa mataifa Kutoka hao watatu.

.HAMU kamzaa :
1.Kushi 2. MISRI 3. Put 4. Canaan.

YAFETH kamzaa:
1.Gomeri 2. Magogu 3.Madai 4. Yaani 5. Javani nk.

Shemu akamzaa:
1.Elamu 2. Ashuru 3. Alfaksad 4. Ludi 5. Aramu

MATAIFA YOTE YATAABUBU PAMOJA. Isaya 19:23,24.

Katika siku hiyo itakuwako njia KUU itokayo MISRI na kufika hata ASHURU,

Mwashuri atafika MISRI na MISRI atafika Ashuru. Na wamisri wataabudu pamoja na waashuri.

19:24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa TATU pamoja na MISRI na Ashuru.

Watakuwa baraka kati ya Dunia.

MADHABAHU MISRI: (Isaya 19:19.).

Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika Nchi ya MISRI Kwa BWANA.

TAFSIRI YA MISRI KIUNABII.

1. MISRI ni mtoto wa HAMU mwana wa NUHU.
2. MISRI ni Nchi iliyopo Africa, usisahau Wana wa HAMU kushi na Canaan, Puti na MISRI ni mataifa ya AFRICA.

3. MISRI ya KIROHO. Tanganyika au NYIKANI. Ufunuo 11:8.

Mji Ule mkuu, uitwao Kwa jinsi ya ''Roho'' Sodoma, na MISRI.
Ikumbukwe kuwa mji wa Sodoma na gomora na Gaza alitawala mtoto wa HAMU aitwaye Canaan alielaaniwa na babaye. MWANZO 10:1-32.

TANGANYIKA au NYIKANI kama sehemu salama ya kukimbilia: (Ufunuo 12:6,14).

JoKA akisubiri MWANAMKE azae Ili ammeze mtoto., MWANAMKE akazaa, mtoto akatwaliwa MBINGUNI.

JoKA akakasirika, yule MWANAMKE akakimbilia NYIKANI ambapo ana Mahali palipotengenezwa na Mungu Ili wamlishe huko muda wa siku Elfu mia mbili na sitini.

MTOTO=YESU,YESHUA,ISSA alienyakuliwa Mbinguni.

MWANAMKE=KANISA,KUSANYIKO la waaminio MUNGU mmoja.

Mahali SALAMA panapoandaliwa kumtunza MWANAMKE au kanisa, wamwabuduo Mungu mmoja ktk siku hizi za mwisho ni TANGANYIKA.

Ufunuo 12:15. NYOKA akatoa maji mithili ya mto ammeze,Nchi ikamsaidia MWANAMKE, ikayameza maji, MTO NILE ukakauka.

Tanganyika akimbiliapo MWANAMKE maji hayatakauka ambapo ndio chanzo Cha mto NILE.

MATAIFA YOTE wamwabuduo Mungu mmoja na Kumkiri YESU kuwa ni Masihi watakuja huku ambapo Mungu amepaandaa special walindwe dhidi ya JoKA. Na huku pekee ndo patakuwa na MAJI.

ABT, KITI CHA U-CEO wa kampuni yetu kutokalika:
Fuatilia Unabii juu ya KAMPUNI yetu, ingia You tube,, manabii wengi wameonyeshwa juu ya Hilo.

Pia imagine Mungu aiandae Nchi yetu kupokea jambo kubwa kiasi hicho amini lazima KUTIKISIKE na KUCHIMBIKE.

Asomaye na afahamu. Amen
Amazing
 
Mmeshaharibu uzi na mambo yenu ya Dini,anzisheni uzi wenu wa Dini zenu hukooo muanze kubishana hukooo sisi tusiyo na dini bali Imani mtuache na Yoga huku tuendelee na habari za Kampuni.
Sijaona mabishano kuhusu dini maana hapa Si Mahali pale.

Zilikuwa story to watu wakibuy time ili YOGA amalizie editing ya episode ya pili.😀😀
 
Habari ya mchana leds and gents!! Hope tuko fine!!

After a long break na majukumu ya hapa na pale, And As we are about to drop season 2,

Kama unaswali niulize takujibu tuuu!! Karibuni
Mbuga NDIO Hiyo ishachukuliwa na mstaafu wa mabaka mabaka kawaMwenyekiti wa uhifadhi!!!?Sasa nasikia mstaafu mabaka aliomba kustaafu kwa hofu ya ku RIP iiiwa je ni KWELI!!?nasikia uso wa Bt ushaanza kupoteza nuru ndio tayari ameshaanza kuziona dark days zake kama late CEO!!!?
 
Back
Top Bottom