Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Term tatu, kila term ikiwa na miaka mitano, ndio nzuri, zina more accountability, wakati huo huo, zinampa nafasi rais mzuri kuendelea kuongoza, na wananchi wanaendelea kunufaika na rais mzuri. Nadhani Bunge liki convene tena, Attorney General apeleke muswada utakao ruhusu term tatu. Term tatu, za miaka mitano, zinatosha kabisa, zaidi ya hapo itakuwa ni miaka mingi kupita inavyotakiwa.

Mgombea urais wa CCM anaweza kuwa automatic candidate ndani ya CCM kwa term ya pili. Lakini kwa term ya tatu inabidi ashindanishwe na wenziwe ndani ya CCM, kama alivyoshindanishwa na wenziwe kwenye term ya kwanza. Halafu kila uchaguzi mkuu, mgombea urais wa CCM atashindana na wagombea urais wa vyama vingine, katika mazingira mazuri ya uchaguzi na demokrasia.

Nyerere aliongoza kwa miaka kama 23, na alikuwa mwenyekiti wa TANU na CCM kwa miaka 36, 29 kati ya hiyo miaka ikiwa baada ya uhuru.

Kuhusu Lissu, ni vizuri mashtaka yake yote yakafutwa, na akaachiwa huru, kwa sababu za kibinadamu.

Kama wanataka kumcontrol baada ya kumuachia, labda watumie The Preventive Detention Act, Chapter 361 R.E. 2023.

THE PREVENTIVE DETENTION ACT, CHAPTER 361 R.E. 2023

Pia ni vizuri sana na ni jumuishi sana kama kwenye kila mzunguko wa marais kukawa na rais muislamu sunni, rais mkristo mkatoliki na rais mkristo mprotestanti, na mzunguko ukarudia tena.

30% to 40% ya watanzania ni wakatoliki, 30% to 40% ya watanzania ni waprotestanti na 20% to 30% ya watanzania ni waislamu (waislamu wengi sana ni wa madhehebu ya sunni).

Na kwenye top three positions, rais, makamu wa rais na waziri mkuu, ni vizuri sana kukawa na msunni, mkatoliki na mprotestanti. Utaratibu huu hapo juu unaweza usizingatiwe kama kuna mtu ambaye ni very well qualified ambae haendani na huu utaratibu, au madhehebu husika hayana well qualified people.

PCCB/TAKUKURU ibadilishwe jina na iitwe Tanzania Bureau of Investigation. Hii ita wawezesha kuchunguza uhujumu uchumi mkubwa sana, kwa mfano, kama kuna makampuni makubwa ya kimataifa yanakwepa kodi.

Serikali iendelee kuwa rafiki wa wananchi. Sio vizuri serikali iwe weaponised against its own people.
 

Attachments

Sema kama kuna kikundi kwenye kampuni kinasukuma kete ni magenius refer Tumia Akili na desert mission , hii hate kutoka kwa wananchi sio mchezo Au nature inawatapika
Desert mission ni mwendelezo wa maandamano na chaos ndani ya kampuni!!

Nahisi kama US na co wametulizwa coz sisikii nywii nywi Wala nyoo nyooo!!
 
Back
Top Bottom