Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
Para ya mwisho umenichanganya sana km watamng'ang'ania hivi 😭
 
Kwamba limetoka agizo 7/7 watu wanakula SMG au AK47 au siyo?
Hiki kiburi kinaenda kuwafikisha kwenye anguko lao.
Too much hubris has always led to the downfall of the great empires.
The empire now is CCM and it's few established members, the cabals. The oligarchs and rats will jump out of sinking ship.
Hii code na wewe ilikupita!
GSM si Makamu
 
Hii code na wewe ilikupita!
GSM si Makamu
Hiyo ilikuwa kuelekea kitisho cha 7/7.
Akaweka code GSM au 74KA akimaanisha maamuzi waliyofikia wauwaji kuwa siku hiyo mwendo wa SMG ndiyo GSM, au AK47 ndiyo 74KA.

Sub machine gun (SMG) au Avtomat Kalashnikova 1947(AK47).

Nafikiri nmepatia. Nakumbuka kuna thread ulisema ulipitia jeshini. Hivyo hapo wewe ndiyo bingwa kuliko mimi.
 
Tulifundishwa ila akili haikua darasani
 
Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
wanamkuta na hatia ?
 
Para ya mwisho umenichanganya sana km watamng'ang'ania hivi 😭
Kwahiyo wewe Kwa Akili ya kawaida tu hauoni kuwa lissu lazima afungwe !? Kama watu wanaweza kumng'oa makamo wa raisi wa Nchi na Nchi Wala haitikisiki ndio watashindwa kumfunga lissu !?

Lissu hatoki salama hili tukio la nchimbi limezidi kuonyesha kwamba samuya ana nguvu nzito inayoogopesha na hakuna wakumgusa ,
 
wanamkuta na hatia ?
Lazima

Mfano mdogo tu kama vice president kawezwa kutendwa vile ndio washindwe kumtendea lissu wanavyotaka !?
.vice president Katendwa vile na Nchi imetulia tuli

Kwa Sasa hakuna mtanzania anayeweza kuandamana Tena wote waoga so lissu lazima aliwe kichwa maana hakuna ambaye atakaye weza kumtetea watu wataishia kulalamika tu mitandaoni then kwisha habari

Inatakiwa msome alama za nyakati sana kama vice president Katendwa vile vipi kuhusu lissu !? Jiulize halafu jijibu mwenyewe
 
hata mimi naona hivi,na ndio maana hata yule Katuga anaonekana kama ana uhakika hv
 
Lazima

Mfano mdogo tu kama vice president kawezwa kutendwa vile ndio washindwe kumtendea lissu wanavyotaka !?
.vice president Katendwa vile na Nchi imetulia tuli

Kwa Sasa hakuna mtanzania anayeweza kuandamana Tena wote waoga so lissu lazima aliwe kichwa maana hakuna ambaye atakaye weza kumtetea watu wataishia kulalamika tu mitandaoni then kwisha habari

Inatakiwa msome alama za nyakati sana kama vice president Katendwa vile vipi kuhusu lissu !? Jiulize halafu jijibu mwenyewe
usemalo liko dhahiri wazi wazi ,Lisu ajiandae tu
 
Kwahiyo wewe Kwa Akili ya kawaida tu hauoni kuwa lissu lazima afungwe !? Kama watu wanaweza kumng'oa makamo wa raisi wa Nchi na Nchi Wala haitikisiki ndio watashindwa kumfunga lissu !?

Lissu hatoki salama hili tukio la nchimbi limezidi kuonyesha kwamba samuya ana nguvu nzito inayoogopesha na hakuna wakumgusa ,
Tunaamini mahakama siyoo vikao vya ssm, kwa akili zako nawe uneona ssm na mahakama ni muhimili mmoja.
 
Back
Top Bottom