Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
Nyerere amevuliwa nguo sana na CCM. Vyama vyote vilivyokuja kuweka kambi Tanzania vimeuwa nchi zao. Vita ya kagera tulipoteza hela nyingi kumuweka Obote l. Obote naye akaleta ukabila akapinduliwa na Museveni aliyesoma chuo Tanzania. Ni aibu juu ya aibu. Hakuna uzuri aliofanya Nyerere kwa hii nchi.Binafsi naamini katiba huendana na nyakati na kumsema Nyerere kwa nyakati alizoongoza na sasa pengine tunaweza tusimtendee haki sana
Yawezekana kweli alikuwa na uwezo wa kubadili katiba wakati wa Mwinyi na Mkapa, lakini kipindi hicho hakuwa Rais. Yawezekana kweli angeweza kubadili katiba kipindi chake, lakini hali ya wakati ule na sasa imekuwa tofauti sana. Kwa kipindi kile mapungufu ya katiba yalijificha ficha kwasababu ya aina ya viongozi waliokuwepo lakini sasa yako wazi
Kwa mapungufu kuonekana wazi wazi ndio muda sahihi wa kufanya marekebisho. Hata nguo iliyotoboka unaweza kuvumilia kuivaa kama tobo haliko sehemu inayoonekana ila tobo likishakuwa sehemu inayoonekana kutoliziba au kununua shati lingine huo ni upuuzi
Kumbe una akili nilidhani ni bogusChai inaendelea 😹
HatafanikiwaTobaaaaaaa!!!
Kalia hapa 🖕🏿Kumbe una akili nilidhani ni bogus
Hizi ndizo akili zako na michezo yako ninayoijua MimiKalia hapa 🖕🏿
Madhara ya kutegemea mwanadamuTangu mwanzo humu tulisema
Makamba kaachwa makusudi,huyu nae kapewa hiyo makusudi ili kuua dream yake....
Ila watu wabishi.....
Hahahaha,eti bogus ,🤣🤣Kumbe una akili nilidhani ni bogus
Hahahaha,🤣, hahahahaHizi ndizo akili zako na michezo yako ninayoijua Mimi
Msanii tu yule shubamitiWajinga bado wanamsubili mjinga mwenzao
Wewe mjinga hakuna amani bila haki hata muulize Ertugrul beyAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo
Nani kakwambia pametulia?Wameua watu wengi na pametulia sembuse hiyo ya Riz kuwa?
britanicca yoga wapo, nawaona ona humu Tumia akili sijuiYoga,Tumia Akili na Britannica wote wamepotea jukwaani hapa.