uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,087
- 2,994
No contradiction, the problem is the owner of the compass,doesn't want to ear the truth from external reader,no matter what.So kuna contradiction between the compass and the traveler
The concept that i've understood is north and south
Asante Mkuu kwa kuniongezea siku maana imenilazimu kucheka. Bado Nina imani na yoga . Yatakuwa masuala ya kiufundi ndiyo yamemkwamisha. Si bure.yoga na TUJITEGEMEE ni pipa na mfuniko.
Asante Mkuu kwa kuniongezea siku maana imenilazimu kucheka. Bado Nina imani na yoga . Yatakuwa masuala ya kiufundi ndiyo yamemkwamisha. Si bure.
Hii ni jf shquri yakoYoga si Ni Mshangazi jaman, Au mm ndo nachanganya
Ni kweli jamaa wamekuwa kimya mpaka tunalazimika kuona last seen zao ni lini. Si Britannica, TumainEl, Griss wala Tumia Akili aliyesema chochote.Sema round hii watu wa kitengo
Wamekuwa kimya sio brittanica wala Tumainel
Kwani yupo Qatar duh ! mbona sina taarifaKikwete akitoka Qatar ndiyo script itaendelea.
Inashangaza sana Britannica kuwa kimya muda mrefu tena kwa wakati muhimu kama huuSema round hii watu wa kitengo
Wamekuwa kimya sio brittanica wala Tumainel
Huenda amejichimbia wameamua wafanye kweli kuiponya nchi maana last seen yake ni Friday japo hakucomment wala kutoa uzi wowote. TumainEl yeye hajaandika chochote tangu muda mrefu japo tabiri zake juu ya huyu aliyejitwalia urais zinazidi kutimia. Kuhusu TA yeye nadhani tangu uzi wake wa Brother hajawahi kuonekana popote humu jukwaaniInashangaza sana Britannica kuwa kimya muda mrefu tena kwa wakati muhimu kama huu
Itakua wamejifunza kutokana na makosa.. speak less do more.Ni kweli jamaa wamekuwa kimya mpaka tunalazimika kuona last seen zao ni lini. Si Britannica, TumainEl, Griss wala Tumia Akili aliyesema chochote.
Nyie ndio mnakufaga ndaniJamn kuna SMG mpya za kisasa kabisa msijaribu watu wanazifanyia mazoezi ya shabaha tulieni nyumban haya
Hii ni jf shquri yako
Hahaha 😆
Sema round hii watu wa kitengo
Wamekuwa kimya sio brittanica wala Tumainel
Usikute wanazuia traceability. Ila wapoGame haitabiliki mkuu, Japo ukiona ukimya sana ujue Nyuma ya pazia ndo hali ngumu zaidi
Kuna post za