Dark days 17/03/20

Huu ujumbe una ujumbe
 
Unataka kulichonganisha kanisa na samia
 
Bite the scrotum of the killer na swallow them when possible ( hii ngoma mbona mbichi sasa) killers , fungeni chupi cha vyuma , watu wanajipanga kuondoka na kengele zenu pia,

Pastor Ng,ang,a wa Kenya hutumia msemo kwa waumini wake wa kiume ,kwamba nitawafunga tuvyutu vyenu ili mkiwaona wake zenyu mnabaki kutoa macho.
 
Bado naamini huu ndio uelekeo, drafti linapigwa!
 
Post na comment zake Yoga huchanganya ukweli na uongo,

aliwahi kusema Current CEO alikuwa na plan ya kumu Job Old CEO halafu angalia alivyopambaniwa na Old CEO tangu January 18, 2025 hadi Nov kula kiapo,

Halafu Yoga, secretary wa KJ anasema nyee nyee nyee anawindwa Old CEO,
Hivi Old CEO akianguka, Current CEO atakuwa na ubavu wakubaki kitini?
Mbona amekiri ss?
 
Sehemu
Jumamosi utaelewa vizuuuuri, we ikifika saa SITA usiku cheki tu hewani
 
Hamuwezi kumpangia mtu bwana
Na nyie fungueni platfom zenu muongee tuwasikie
Tatizo mmekariri mnataka kumpangia mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…