The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,849
- 10,383
Jamaniee, shughuli imeanza,π
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)
dadavua kidogoNope!!
Watu wanatumia upepo na mwanya wanapita nao kiukweli Tz tulikuwa tunapiga hatua watalii mwaka Jana tu Masupertar wa mambele kibao wamekuja Tz wakati Rwanda wanahangaika kumtangaza kwenye matimu kibao makubwa Ulaya kwa kutumia Fedha nyingi sisi nchi yenyewe ilikuwa inajitangaza . Na Vilevile Kasi ya miundombinu tulikuwa tunaenda 4G .Ni Afrika mashariki pekee Ujasusi wa kiuchumi Unafanywa na Nguvu ya umma, tena vijana wadogo Gen Z wasiofatilia hata hizo siasa
Watu wanatumia upepo na mwanya wanapita nao kiukweli Tz tulikuwa tunapiga hatua watalii mwaka Jana tu Masupertar wa mambele kibao wamekuja Tz wakati Rwanda wanahangaika kumtangaza kwenye matimu kibao makubwa Ulaya kwa kutumia Fedha nyingi sisi nchi yenyewe ilikuwa inajitangaza . Na Vilevile Kasi ya miundombinu tulikuwa tunaenda 4G .
Kwenye michezo na Sanaa ndio kabisa Afrika Mashariki walikuwa hawanusii yaani sisi ndio tukawa tumekamata trend zote mpaka majirani wakawa wanafosi battle.
Mistakes zilizotokea majirani wametumia fursa haswa na Kupiga spana za maana mpaka sasa tumebanwa kila kona tunasubiri kupigwa KO tu mchezo uishe mapema.
huwa nakuelewa sana jinsi unaongea ukweli japo wengi huwa tunapenda kusikia yale tunayoyataka na si vnginevyo..ili tuishinde hii vita tunaitaji akili na kutumia kila aina ya mbinu itakayo tusaidia..
Duuh hii basi nimeshindwa kufungua code ...Nope!!
Hio ni habari official na clip ipo nimekopi mahali nimeleta humu , Mimi MCuba naelewa humu mwendo wa codes ndio maana nikitaka kuzungumzia vitu sensitive kumhusu mtu lazima codes ziwepo.Sharti la uzi huu ilikuwa tusitaje.majina!
===
Inaonekana lugha ya codes ni ngumu kwa wengi
Then what??Nope!!
TithiiiJamaniee, shughuli imeanza,π
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)
Kk mbona nyepesi tu hiyo uko juu washaanza kutafuta njia sahihi ya kusolve hili na sio kutumia nguvu kubwaDuuh hii basi nikeshindwa kufungua code ...
Ukiona yafaa tupe dondoo kidogo tuunganishe nukta (dots).
TF 50s, Dar Ina kaa kweli?Tithiii
Veterans wameingia mzigoni? I believe tunao powerful veterans huu mchezo wanaumaliza within 7 days wakiamua. Vikao 3 case closedJamaniee, shughuli imeanza,π
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)
Are they going to dissolve the entire cabinet?Nope!!
Please yoga hii isiwe ya kutuletea habari ambayo unahisi tungependa kusikia kutoka kwako!!! Sitaki kusubiri Meli Stendi ya Basi Tabora. Ukiwa na uhalisia inasaidia sana kujiandaa kisaikolojia. Please!!!Jamaniee, shughuli imeanza,π
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)
Nazani anamaanisha Kuna watu wanaona wanapoteza pesa/mahela hizi Mambo zikiendelea naona wanafikiria kubadili njia inner circle yao.Tithiii
Please yoga hii isiwe ya kutuletea habari ambayo unahisi tungependa kusikia kutoka kwako!!! Sitaki kusubiri Meli Stendi ya Basi Tabora. Ukiwa na uhalisia inasaidia sana kujiandaa kisaikolojia. Please!!!i