Hicho kitu ni gumu kutokea TanzaniaNimeota,raia wanaandamana mbele yao kuna kundi lina silaha za moto linapambana na polisi na jeshi liliona silaha pia.
Ni hofu na machafuko.
Hii ndoto tu lkn.
Machafuko ni njia pia ya kuifikia amaniBongo tumechoka Amani , viongozi na Raia Wanataka kunyukana tunaona wenzentu Sudan , Congo na Somalia wanafaidi haya ngoja yatukute.
Yaani watu hawajui hatuendeli kwa sababu nchi yetu ni changa. Ni kama mtoto ambaye hajawahi kuchapwa na anarudia makosa yale yale. Hapa inahitajika maandamano makubwa sana. Na viongozi wawajibishwe.Machafuko ni njia pia ya kuifikia amani
Duu hii ya dharau kwer imeonekana wazi kabisa hawa jamaa kwer wanadharau ya hatar yaani hata aibu hamna speech ya semaji lao kuhusu tv ya nje .. akaja tena pm yaani kuongelea vifo kwao wanaona zimekufa panya sijui sisimizi mwamba maswali magumu anajibu majibu simple na kuongelea uharibifu nasio vifo kwer hawa jamaa yoga wanadharau hakuna mfano yaani kama ulivyosema it’s clear kabisa hata kama iq za wa tz ni zero lakini hizi dharau nizakiwango cha i.s.o kabisa .. hapa Kwer nature itaamua kwa hiz dharau 🙌Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,
Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️🩹❤️🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??
Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!
Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,
watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea
Any ways tukutane DEC!!!!!
Conclusion plsInaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu.
Kuna baadhi ya agents wa illuminati wanataka akae hadi Oct 2030.
Ni global na continental agents wa illuminati hao hao ambao hawakumpenda the late ceo aliemaliza muda wake in March 2021.
Toka Lowassa ajiuzulu on the 7th of February 2008, kwa miaka 17 hakujawahi kuwa na kiongozi mprotestanti kwenye position ya rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, mpaka hivi karibuni alipoteuliwa huyu waziri mkuu wa sasa on the 13th of November 2025.
Ili kuwa na political inclusivity nzuri, ni vizuri kwenye kila mzunguko wa miaka 30, miaka 10 apewe mkatoliki, miaka 10 apewe mprotestanti, na miaka 10 apewe muislamu wa sunni.
Na kwenye top 3 positions za rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, haya makundi yawepo.
Halafu urais uwe unazunguka kanda kwa kanda sio kurudia kanda zile zile.
Watu wote wanaoshika hizo nafasi za juu, wanatakiwa kwanza kuwa na vigezo na sifa nzuri za uongozi, halafu ndio yanafuata mambo ya madhehebu na kanda.
Of course, hakuna umuhimu wa kufuata power formulae hizo hapo juu, kama kutakuwa na viongozi wazuri sana, wenye vigezo na sifa nzuri sana, ambao hawaendani na hizo formulae hapo juu.
30% - 40% ya watanzania ni wakatoliki.
30% - 40% ya watanzania ni waprotestanti.
20% - 30% ya watanzania ni waislamu.
Huyu ame post sana, lakini kuna assumptions anakosea:
View: https://x.com/SGahamanyi/status/1993565117825368315?s=20
Huyu wakati mwingine, kuna posts anadanganya kabisa, na pia kuna assumptions anakosea:
View: https://x.com/kwamekivaisi/status/1993585444093571131?s=20
May - June, 2026 AD, ni miaka 2,000 tangu Bwana Yahushua Mashiach abatizwe na Yohana Mbatizaji, in the day of Pentecost, in May - June, 26 AD.
May - June, 2030 AD, ni miaka 2,000 ya kuhubiriwa kwa injili ya Bwana Yahushua Mashiach, kwa mataifa yote ya dunia (since the day of Pentecost, in May - June, 30 AD), baada ya kuteswa, kusulubiwa, kufa na kufufuka kwake, in April, 30 AD.
Kwa hiyo dunia, waafrika, na watanzania tunapitia kwenye majira na nyakati muhimu.
Acha uongoInaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu.
Kuna baadhi ya agents wa illuminati wanataka akae hadi Oct 2030.
Never say never,lolote laweza tokea popote na wakati wowote.Hicho kitu ni gumu kutokea Tanzania
Mchawi wa wazalendo KJ anasemaje?Wachambuzi hii ikoje ? Kuna tetesi kuwa Foreign powers nao wanacheza kwenye haya yanayoendelea na nyingine zinasema Paka naye yumo ndani anashiriki na kufuatilia game kwa utulivu mkubwa
Dunia ni kijijiWachambuzi hii ikoje ? Kuna tetesi kuwa Foreign powers nao wanacheza kwenye haya yanayoendelea na nyingine zinasema Paka naye yumo ndani anashiriki na kufuatilia game kwa utulivu mkubwa
Naonna amekwishajiandaa kisaokolojia.Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema bara la Afrika linaweza kushuhudia mapinduzi zaidi, hasa kutokana na mtindo wa vijana wa kizazi kipya, maarufu kama Gen Z kuonyesha nia ya kupindua tawala ambazo hazitekelezi matakwa ya wananchi.
Akizungumza kufuatia mfululizo wa mapinduzi barani Afrika, ikiwemo Madagascar mwezi uliopita na machafuko ya kijeshi Guinea-Bissau wiki hii, Kagame amesema ni muhimu viongozi wa Afrika “kujiuliza sababu za mapinduzi haya badala ya kushangazwa nayo.”
Kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa, tangu mwaka 1952 kumetokea mapinduzi 130 katika nchi 36 barani Afrika, huku karibu mapinduzi 10 yakitokea ndani ya miaka mitano iliyopita pekee.
Kagame amesema mataifa mengi ya Afrika, ikiwemo Rwanda, yana matatizo katika namna yanavyoendeshwa, jambo linalochochea misuguano kati ya watawala na wananchi. “Namna viongozi wanavyoendesha nchi zao inaweza kujenga mazingira ya mapinduzi,” amesema, akisisitiza kuwa vijana wanafanya hivyo wakiamini wanatafuta mabadiliko ya kiutawala na kiuchumi.
Ameongeza kuwa suluhisho si kuwadhibiti vijana, bali ni kujenga mifumo yenye uwajibikaji, haki, na kusikiliza kilio cha wananchi, hasa vizazi vipya vinavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kuhamasisha hoja zao.
Sharti la uzi huu ilikuwa tusitaje.majina!hoja zao.
yoga ongeza nyama kidogo hapaJamaniee, shughuli imeanza,😅
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)
Akina Habil na Redcross 26 au siyo?Jamaniee, shughuli imeanza,😅
Sasa Kuna watu wameanza Kutumia akili na sio emotion Tena!! Hongereni
(Sasa nature inaweza isiwe the only solution)
(Japo Msimamo uko pale pale, hakuna kukili kosa guys)